sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Aiseee niliwahi print t-shirt kwako.dada mimi nimekulia kwenye biashara.. wazazi wangu hawajawai kuajiriwa wote. na hata nilipo nafanya biashara ndogo ndogo nyingi sana...
nina dry cleaner zaidi ya 5, nina tshirt workshop, photo studio, uber tax, na vingine.. najua changamoto nyingi sana
mimi sio mwanasiasa.. nakueleza nayoyaona na kuyaona...
biashara nafanya na wafanyakazi.. ila nawasimamia kwa technology... hata hao kina mengi wameweka mabosi wahindi vichwa.. na pia wanawasimamia kwa technology..
haya mambo ya kusaini kwa vidole, cctv, kpi, etc etc. ni usimamizi wa kisasa
Narudia tena hakuna mtu duniani anaependa kumtafutia mwenzake hela.. huku hata yeye ana shida ya hela...
what you think, what we print (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
Mkuu hiyo mashine ya kuprint inauzwaje?
I'm the girl from nowhere, he one no one will miss. That's why they choose me.[emoji97]