Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,wale wateja wa hiliki napenda kuwaambia iliki ipo ya kutosha na mwezi 8 mwaka huu itakuwa tayari kwa kuuzwa.
Hivyo basi kama unahitaji mzigo weka order mapema sababu wanao itaji mzigo niwengi.Kama unataka mzigo njoo ukiwa umejipanga utapokelewa bila shida.

Kwa wateja watakao chukua kuanzia kilo 200, watauziwa sh12,000 kwa kilo na ambao wanataka mzigo kuanzia kilo 50 ni sh 20,000.
Kwa maelezo zaidi piga 0746756229.
 
Mzigo gani mkuu
 
Kama wanaohitaji ni wengi wauzie basi hao wengi mkuu
 
Ukiona hivi ujue hakuna wanaohitaji anavutia tu watu waamini ana wateja kibao kumbe wa kuwatafuta tu kwa mbinde kama hivo. Anyway hongera yake kwa kupambana
 
Refer to the heading,I need serious people if you are not serious stay away.
 
Ungekua na wateja wengi usinge post huku ungedeal na wateja wako iyo danganya toto yako tumeistukia
 
lengo langu ni ku share fursa but you think in opposite.
Wewe hauhitaji ndo maana, wanaoitaji washapiga cm tangu jana so unajisumbua.
 
Watu washaanza kuvuna sahvi
Iliki mbichi ndy iko kwa wingi
Ila ni vizuri muende wenyewe huko
Mkajionee na kuzoea mazingira!

Ova
Sawa mkuu lkn debe bei gani nikajilipue huko
 
Back
Top Bottom