Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Baada ya kusoma ule uzi "Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa", wengi wanaeleza jinsi walivyofeli kwenye kilimo kwa sababu ya changamoto mbalimbali.
Comments nyingi ni za kuvunja moyo. Hivyo naomba mliofanikiwa katika kilimo mje hapa mtueleze mlifanikiwaje, mbinu gani mlitumia na kiasi gani mliwekeza.
Karibuni.
Comments nyingi ni za kuvunja moyo. Hivyo naomba mliofanikiwa katika kilimo mje hapa mtueleze mlifanikiwaje, mbinu gani mlitumia na kiasi gani mliwekeza.
Karibuni.