hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
Wazee wa notice ,hadi mchicha watakwambia unayo majani mangapiKwenye mitandao wengi ni madalali wana maneno matamu unaweza hisi ni wakulima hasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa notice ,hadi mchicha watakwambia unayo majani mangapiKwenye mitandao wengi ni madalali wana maneno matamu unaweza hisi ni wakulima hasa
Jamani hamna Mwenye ushuhuda mzuri atutie moyo
Nime ku pm mkuuKilo moja shs ngapi? Nipe number. OK
Sorry! Unauza au unatafuta mkuu, naomba uuweke mchanganuo wako sawa.Wakuu, kwema?
Naomba kujua bei ya hiliki kwa kilo ipoje sasa hivi na changamoto zake ni ipi?
Na wapi naweza pata soko la uhakika?
zipo kilo 60Una kilo ngapi?
Bei gani mkuu na unapatikana wapi wewe..?@NestoryJ,nauza mkuu
Bei gani mkuu na unapatikana wapi wewe..?@NestoryJ,nauza mkuu
Be
Bei gani mkuu na unapatikana wapi wewe..?
Sawa mkuu kama upo ileje inapatikana kwa sasa tufanye biashara.?Anapatikana SONGWE ILEJE.
Mkuu nasikia morogoro pia zina patikana, je zina ubora kama tanga?Kwa Sasa shambani tanga hko milimani wanauza kg 1.... 22,000/ iliki iliyokaushwa
Ova
Ubora tofautiMkuu nasikia morogoro pia zina patikana, je zina ubora kama tanga?
Asante mkuu.Ubora tofauti
Tanga ni bora zaidi
Ova
Je na pilipili manga zina tofauti ya ubora? za morogoro na tanga.Ubora tofauti
Tanga ni bora zaidi
Ova
Hazina..Je na pilipili manga zina tofauti ya ubora? za morogoro na tanga.
Mungu akubariki kaka.Hazina..
Pilipili ya tanga na morogoro, matombo ziko sawa
Iliki ya tanga Ina harufu kuliko ya moro
Mara nyingi masoko mengi Wana prefer iliki ya tanga...
Hata ukiona iliki inayotoka India iko tofauti na ya tanga
Ova