Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Wakuu naomba msaada kama kuna mtu ana sources au analima hiriki.

Zinahitajika tani zozote, mwenye sources au kama we ni source please nione inbox.

Specifically nahitaji hiriki za namna hii kama kwenye hizi picha.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hiriki tani 15 parefu sana! Hata ukizungukia wakulima wote tz na ukakusanya kwenye masoko yote hutaeneza hiyo shehena within a limited time!
Zao lenyewe hutoa mavuno haba sana ndo maana bei iko juu!

Binafsi nalijua chimbo moja ambalo naweza nikakusanya mzigo kiasi kama utakuwa tayari tuwasiliane tu.
Pia mcheki mdau aitwae falcon mombasa pengine anaweza kukupa mbinu kulingana na uzoefu wake.
 
Nakuja pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari kwa quantity hio my frnd kidogo itakuwa mtihani wa Master's ila kwa information kuna mzee yupo Same milimalimani sujui aliipata wapi hii Idea kwenye moja ya shamba lake kapanda Hiliki mwenyewe anavoisifia balaa ni yy tu kijijin hapa ana hiliki ila sijui anazalisha kiasi gani , sio mbaya ukiihitaj info zaid nicheki
Yeye alitarget soko lake Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweka kigezo cha tani 15, utajikosesha biashara.
Ninadhani ni bora useme unanunua Hiliki kwa kiwango chochote uweke na bei yako/kg.
Sema ulipo na kituo chako cha kununulia(gulio) kiko wapi.

Same unaweza kupata kiwango kikubwa sana cha hilo zao.
 
Ukiweka kigezo cha tani 15, utajikosesha biashara.
Ninadhani ni bora useme unanunua Hiliki kwa kiwango chochote uweke na bei yako/kg.
Sema ulipo na kituo chako cha kununulia(gulio) kiko wapi.

Same unaweza kupata kiwango kikubwa sana cha hilo zao.
Hata zikikusanywa cha muhimu quality inayohitajika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…