Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja pmMkuu hiriki tani 15 parefu sana! Hata ukizungukia wakulima wote tz na ukakusanya kwenye masoko yote hutaeneza hiyo shehena within a limited time!
Zao lenyewe hutoa mavuno haba sana ndo maana bei iko juu!
Binafsi nalijua chimbo moja ambalo naweza nikakusanya mzigo kiasi kama utakuwa tayari tuwasiliane tu.
Pia mcheki mdau aitwae falcon mombasa pengine anaweza kukupa mbinu kulingana na uzoefu wake.
Tani 15 inawezekana kupatikana, ila inategemea unahitaji ndani ya mda gani?Habari,
Hiliki kuanzia tani 15 kwenda juu zinahitajika haraka sana zinahitajika kupelekwa Peru.
Aliyekuwa na mzigo au anayejua ninapoweza kupata mzigo nicheki haraka.
Kuna offer ya 100,000/= atayenielekeza wapi nitapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinahitajika sasahivi Mkuu.Tani 15 inawezekana kupatikana, ila inategemea unahitaji ndani ya mda gani?
Mimi nina uzoefu na maeneo yote wanayozalisha hiliki kwa wingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kila la kheri
Ukiweka kigezo cha tani 15, utajikosesha biashara.Habari,
Hiliki kuanzia tani 15 kwenda juu zinahitajika haraka sana zinahitajika kupelekwa Peru.
Aliyekuwa na mzigo au anayejua ninapoweza kupata mzigo nicheki haraka.
Kuna offer ya 100,000/= atayenielekeza wapi nitapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata zikikusanywa cha muhimu quality inayohitajika.Ukiweka kigezo cha tani 15, utajikosesha biashara.
Ninadhani ni bora useme unanunua Hiliki kwa kiwango chochote uweke na bei yako/kg.
Sema ulipo na kituo chako cha kununulia(gulio) kiko wapi.
Same unaweza kupata kiwango kikubwa sana cha hilo zao.