mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki hi![emoji2772][emoji2772][emoji2772]Attach mawasiliano yako nipost kwwenye group la Tanzania Spices Association
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kawaida zishakaushwa
Mm nishajuaaWewe ni mtu Wa tatu kuona unatafuta hiriki.
Na picha inayoambatanishwa ni hiihii.
Tuelezeeni kuhusu hiyo fursa isije mkapigwa kimyakimya mkaja kulialia humu
Miss you rafiki yanguRafiki hi![emoji2772][emoji2772][emoji2772]
Sasa SI inakua hasara,Kama mbichi Bei hiyo kwa kilo na ikikauka inabaki gram 10,hii inaitwa monkey business
Hizo ziko Morogoro na amaniMkuu nijuavyo, Kuna hiliki ambazo hata zikikauka zinabaki na ule u kijani wake na mara nyingi ndo zinazohitajika katika soko la dunia, Nina jamaa yangu ndo biashara yake so Sina ufahamu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada Jane habari?Attach mawasiliano yako nipost kwwenye group la Tanzania Spices Association
Sent using Jamii Forums mobile app
naeKuna mwenzako mwingine nae atafuta,chekianeni mpeane ramani.
Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki
Iliki ni moja kati ya mazao ambayo yanatumika sana karibia kila siku kwenye matumizi ya nyumbani,utumika kama viungo kwenye chakula na pia utumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali.na pia ni mmea mfupi ambao unatoa matunda kwa miaka mingi. kunanjia mbili za kuotesha iliki unaweza kupanda mbegu...www.jamiiforums.com
dodge
nae
atafuta
chekianeni
mpeane
[emoji121]haya maneno ni kiswahili au??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuuDada Jane habari?
Kuna dada/mama nimeambiwa yupo TOAM wale wadau wa Organic farming ndio wewe?
Kuna wakati nilikuwa na shida flani nilitaka nimuone huyo dada sikuwa na namba zake.
Attach mawasiliano yako nipost kwwenye group la Tanzania Spices Association
Sent using Jamii Forums mobile app