Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

mwaga ukweli wako hapa, sio huyu kadanganya, tatizo mnafanya biashara hii kwenye poor location

thanks to god the almighty
Kwanza hii biashara hainaga eti weka kiasi Fulani kwenye till ya mpesa,au weka kiasi Fulani tigopesa na cash uwe nazo kadhaa hamna kitu hicho kwani unaweza ukaenda kazini ukiwa na cash tu na wateja wakatoa ukapata float pia muda mwingine yaweza kuzidi tigopesa float ama ikazidi mpesa au kwenye airtel kutegemeana na mteja katoa kiasi gani kwenye laini IPI au kaweka kiasi gani kwenye laini IPI so kuifanya kazi ya uwakala kuwa liquidity na ili laini ya uwakala hasa tigo ufikishe kwa siku 30000+ hapo tambua kuwa ulianza kazi SAA 11 na umefunga SAA 4 za usiku na wateja walikuwa wanatoa frequently kila dakika tangu unafungua mpaka unafunga jambo ambalo kwenye miamala ya kipesa haliwezekani hasa kwa usalama yaani laini ya tigopesa kama kweli wewe unafanya kazi zaidi kwa mwezi haiwezi kuzidi commision 600000 hapo kwa dar laikini ukienda mikoani ndo utaambulia commission kati ya 100000-250000

Usitutisheeeeeee usitutisheee in maalimu seif voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi naifanya hiyo business, inalipa sana goli likiwa sehemu yenye mzunguko mkubwa sana wa watu, mtaji wa wastani kwa kuanzia uwe na total M 2 ambapo flot tgo weka 500k, voda 350k na airtel 150 k mkononi cash unabaki na M 1.

I can tell you ukiwa eneo lililochangamka hukosi M 1 kwa mwezi, mimi nina magoli matatu (mabanda nimeyatengeneza kisasa) na yote yapo mtaa mmoja, banda moja lililochangamka sana linanipa si chini ya 1.7 m kwa mwezi hapo nina wadada wawili wa kazi, goli la pili lipo kawaida ila huwa sikosi M 1 kwa mwezi hapo mtu wa kazi yupo mmoja na la tatu nmelianzisha mwaka huu kipato chake bado hakijawa stable ila wateja wanazoea zoea nadhan, ila huwa sikosi 600k

thanks to god the almighty

Kwa mtaji wa 2M usidanganye watu hutengenezi 1M hivihvi
 
sikudanganyi brother, mimi laini ya tigopesa kwenye hilo goli lililochangamka huwa sishuki chini ya 800k na bonus zao wanazotoaga za laki 2 hadi 3 huwa nalamba zote. mwezi uliovunja rekodi ni december, tigopesa pekee niliingiza 1.25m

thanks to god the almighty
 
mimi naifanya hiyo business, inalipa sana goli likiwa sehemu yenye mzunguko mkubwa sana wa watu, mtaji wa wastani kwa kuanzia uwe na total M 2 ambapo flot tgo weka 500k, voda 350k na airtel 150 k mkononi cash unabaki na M 1.

I can tell you ukiwa eneo lililochangamka hukosi M 1 kwa mwezi, mimi nina magoli matatu (mabanda nimeyatengeneza kisasa) na yote yapo mtaa mmoja, banda moja lililochangamka sana linanipa si chini ya 1.7 m kwa mwezi hapo nina wadada wawili wa kazi, goli la pili lipo kawaida ila huwa sikosi M 1 kwa mwezi hapo mtu wa kazi yupo mmoja na la tatu nmelianzisha mwaka huu kipato chake bado hakijawa stable ila wateja wanazoea zoea nadhan, ila huwa sikosi 600k

thanks to god the almighty
Mkuu tunaomba msg moja ya hyo commission kama ushuhuda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtaji wa 2M usidanganye watu hutengenezi 1M hivihvi
sikudanganyi ndugu, ukiwa eneo lililochangamka mawakala wakuu wanakuhudumia muda wowote, unaweza ukapata mteja wa M 3, wakakutumia float afu ukawapelekea cash, ndio maana nimewaambia biashara hii inahitaji sehemu iliyochangamka sana

thanks to god the almighty
 
Radicals tuambie hayo magoli yako yapo location ipi. Mimi naifanya hii kazi na goli langu 1 lipo Mbagala Rangi 3 stand mle ndani. Usitutishe. Mle napata hadi 1m.

Sent using my Nokia Torch
 
sasa kumbe unakiri inawezekana kupata M 1

thanks to god the almighty
 
mimi naifanya hiyo business, inalipa sana goli likiwa sehemu yenye mzunguko mkubwa sana wa watu, mtaji wa wastani kwa kuanzia uwe na total M 2 ambapo flot tgo weka 500k, voda 350k na airtel 150 k mkononi cash unabaki na M 1.

I can tell you ukiwa eneo lililochangamka hukosi M 1 kwa mwezi, mimi nina magoli matatu (mabanda nimeyatengeneza kisasa) na yote yapo mtaa mmoja, banda moja lililochangamka sana linanipa si chini ya 1.7 m kwa mwezi hapo nina wadada wawili wa kazi, goli la pili lipo kawaida ila huwa sikosi M 1 kwa mwezi hapo mtu wa kazi yupo mmoja na la tatu nmelianzisha mwaka huu kipato chake bado hakijawa stable ila wateja wanazoea zoea nadhan, ila huwa sikosi 600k

thanks to god the almighty
Ahsante kwa ushauri mzuri...
 
Ushauri mwingine naoweza kukupa, nenda kasajili laini za uwakala kwa majina yako mwenyewe, usinunue laini za mtaani utakuja kuleta kilio humu

Ili uzipate laini kwa majina yako, mtafute wakala mkuu kwa tigo na voda ,kwa aitel money nenda airtel shop. hapa watahitaji copy ya leseni ya biashara, copy ya kitambulisho, copy ya tin namba na passport size mbili for each case.

Ila utazisubiri ndani ya mwezi 1 hadi 2, ingawaje sisi wakongwe huwa tunapita shortcut ili kuzipata haraka ndani ya siku 2

thanks to god the almighty
Thank you sir for appropriate advice...stay blessed
 
Mm ningependa kujua njisi ya kupata faida.. Uzuri wa hii biashara si rahisi kupoteza mtaji..yaani ukishindwa unaacha tu.
 
ferry kigamboni, karibu na wewe ufungue goli lako, kuna watu nyomi wanaovuka, kuna chuo pale, stendi......kiufupi kuna mzunguko mkubwa wa watu

thanks to god the almighty
Hapo sawa! Hyo in kweli kabisa. Tatizo apa watu wanabisha wakati ww mwenyewe ndo unaPractice hyo business! WanaObisha wanaskia tU taarifa kutoka kwa watU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom