amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Oooo haleluya.Nimepigwa limbwata muda wote nawaza kurud nyumban tu hata nikiwa kazin nawaza nitoroke nirud nyumban japo hakuna jambo naenda kufanya.
Limbwata sio poa wadau, nimejifungia ndani wikend nzima.
Tulia hivo hivo mkuu mpe hongera mke wako.