Fahamu kuhusu Limbwata

Fahamu kuhusu Limbwata

Nimepigwa limbwata muda wote nawaza kurud nyumban tu hata nikiwa kazin nawaza nitoroke nirud nyumban japo hakuna jambo naenda kufanya.

Limbwata sio poa wadau, nimejifungia ndani wikend nzima.
Oooo haleluya.
Tulia hivo hivo mkuu mpe hongera mke wako.
 
Hakuna limbwata Wala nini, hiyo ni issue ya Saikolojia tu. Kitu chochote kikiwa excessive unakuwa Teja .. Huo ni uteja wa mapenzi Kama ilivyo uteja wa pombe au madawa ya kulevya.
Mkuru baba km hujarogwa na limbwata una mawili au.mengi tu km haya.....
Huna hela wala uthamani ktka jamii hutakaa ulijue limbwata lipo. Hili wanapewa wanaume wenye.
akili nyingi.
wachapa kazi.
mifwedha wanayo milki.
Ukoo safi usio mawaa.
ukoo ulio soma mpaka wote wako ulaya.
Ukoo wa kifalme
Ukoo usio wa kichawi
Ukoo wenye asili ya utajiri.
Ukoo usio na kijicho wala uchawi.
Kifupi ukoo wenye mafanikio limbwata linawahusu sana.

Kama hujawahi kupewa limbwata huna mvuto...
Una nyota ya ufukara ke wanajuaga.
babako hana hela.
Hamjasoma wote familia
Hkn wa ulaya ukoo mzimank.

Sasa ke gani apoteze limbwata lake buree?? Km taxi driver hawezi choma mafuta bure kumzungusha mtu asiye na hela.
 
Back
Top Bottom