Fahamu kuhusu mafuta ya habat soda pamoja na miujiza yake

Fahamu kuhusu mafuta ya habat soda pamoja na miujiza yake

C360_2017-10-28-16-35-50-068.jpg
yako Mengi sana kwa bei tofauti itategemea na uwezo wako kifedha na maamuzi yako katika kutumia
yapo yanayotengenezwa Zanzibar yako ya Dubai pakstani na India.

Ushauri wa bure kwa wale ambao wanataka kuyatumia kwa kunywa tafadhari hakikisha unapata mafuta halisi. Sabbu mwili wako waweza kuwa na thamani zaidi ya pesa unayotaka kuiokoa.!
wanaoshughulika na biashara hii ya mafuta ya habatsoda au blackseeds oil wanafahamu vema jambo hili.
pia waweza kuyapata kwa kutumia namba hii 255752995192 call au whatsp.
 
View attachment 678475 yako Mengi sana kwa bei tofauti itategemea na uwezo wako kifedha na maamuzi yako katika kutumia
yapo yanayotengenezwa Zanzibar yako ya Dubai pakstani na India.

Ushauri wa bure kwa wale ambao wanataka kuyatumia kwa kunywa tafadhari hakikisha unapata mafuta halisi. Sabbu mwili wako waweza kuwa na thamani zaidi ya pesa unayotaka kuiokoa.!
wanaoshughulika na biashara hii ya mafuta ya habatsoda au blackseeds oil wanafahamu vema jambo hili.
pia waweza kuyapata kwa kutumia namba hii 255752995192 call au whatsp.
Wakuu wale mnaonitafuta kwenye simu kama hutanipata kwa simu ya kawaida mnaweza kunipata kwa whtsp call ninatoka Nje ya mipaka ya Nchi yetu baada ya muda mfupi. pia waweza tumia namba hii +265992936221.
 
Naomba kama hutajali tufahamishe yanayo toka nchi gani ndio halisi
Tatizo sio Nchi tatizo ni ukweli na biashara.! Hata ungesema yanatoka mbinguni bado watu watatengeneza copy ya hukohuko mbinguni na utanunua tu.
just be smart.!
 
Tatizo sio Nchi tatizo ni ukweli na biashara.! Hata ungesema yanatoka mbinguni bado watu watatengeneza copy ya hukohuko mbinguni na utanunua tu.
just be smart.!
Mie nimejaribu kuwa SMART kama ulivyomshauri huyo ... so naamini hapo katika "avatar" yako ni mfano wa yale ambayo ni "halisi" ...
 
Hayo Mafuta Kariakoo Yapo Tele Bei Ni 5000 Pia Yapo Makubwa 8000
Wenyewe Kwenye Maduka Ukiulizia Utaulizwa Unataka Oil Ama Iliyosagwa

Maduka Yanayouzwa Dawa Za Kisuni
Shimoni Kariakoo
Kwa Arusha nimeulizia duka moja la kiislamu linalouza dawa za asili nikaambiwa bei hiyohiyo lakini yameisha

Chupa kubwa Tsh 8,000
Chupa ya kati Tsh 6,000-6500
Na chupa ndogo Tsh 5,000-5,500
 
Mkuu unaweza kupata hata chini ya hiyo bei kumbuka ni soko huria na hiyo bidhaa inatakiwa sana na watumiaji.
Wataalam wa uchumi wanajua kadri uhitaji unavyokuwa mkubwa ndivyo pia kunavyotokea changamoto sokoni.
Uamuzi sasa wa kununua kipi unabaki kwenye akili yako maamuzi yako na pesa yako.
Kwa Arusha nimeulizia duka moja la kiislamu linalouza dawa za asili nikaambiwa bei hiyohiyo lakini yameisha

Chupa kubwa Tsh 8,000
Chupa ya kati Tsh 6,000-6500
Na chupa ndogo Tsh 5,000-5,500
 
Sio ujazo tu hata rangi za hayo mafuta ukizoom hizo picha utagundua mengine yana weusi zaidi mengine hayana weusi.
Chupa moja mfuniko umekooza rangi ya dhahabu mwengine unaelekea kwenye fedha.
Moja inauzwa $16.. karibu tsh 36500.
Nyingine inauzwa tsh 8,000 au 10,000.
Ya kulia ndio original kwa kuangalia ujazo
Au unaonaje maana hiyo iliyojaa haikidhi ubora
 
Back
Top Bottom