Fahamu kuhusu mafuta ya habat soda pamoja na miujiza yake

Fahamu kuhusu mafuta ya habat soda pamoja na miujiza yake

Unayahitaji kwa matumizi gani? Kunywa .. au kupaka?
Kwa Arusha nimeulizia duka moja la kiislamu linalouza dawa za asili nikaambiwa bei hiyohiyo lakini yameisha

Chupa kubwa Tsh 8,000
Chupa ya kati Tsh 6,000-6500
Na chupa ndogo Tsh 5,000-5,500
 
Mkuu unaweza kupata hata chini ya hiyo bei kumbuka ni soko huria na hiyo bidhaa inatakiwa sana na watumiaji.
Wataalam wa uchumi wanajua kadri uhitaji unavyokuwa mkubwa ndivyo pia kunavyotokea changamoto sokoni.
Uamuzi sasa wa kununua kipi unabaki kwenye akili yako maamuzi yako na pesa yako.
Wala hata sio bei kubwa kulingana na faida yake
 
Hayo Mafuta Kariakoo Yapo Tele Bei Ni 5000 Pia Yapo Makubwa 8000
Wenyewe Kwenye Maduka Ukiulizia Utaulizwa Unataka Oil Ama Iliyosagwa


Maduka Yanayouzwa Dawa Za Kisuni
Shimoni Kariakoo
kuna mtu naona anauza elfu 30...au ndo upigaji wenyewe huu??
 
Back
Top Bottom