Fahamu kuhusu mafuta ya habat soda pamoja na miujiza yake

Unayahitaji kwa matumizi gani? Kunywa .. au kupaka?
Kwa Arusha nimeulizia duka moja la kiislamu linalouza dawa za asili nikaambiwa bei hiyohiyo lakini yameisha

Chupa kubwa Tsh 8,000
Chupa ya kati Tsh 6,000-6500
Na chupa ndogo Tsh 5,000-5,500
 
Wala hata sio bei kubwa kulingana na faida yake
 
Hayo Mafuta Kariakoo Yapo Tele Bei Ni 5000 Pia Yapo Makubwa 8000
Wenyewe Kwenye Maduka Ukiulizia Utaulizwa Unataka Oil Ama Iliyosagwa


Maduka Yanayouzwa Dawa Za Kisuni
Shimoni Kariakoo
kuna mtu naona anauza elfu 30...au ndo upigaji wenyewe huu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…