Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

Magari mengi taa ya OD inapaswa kuwaka Kama Ikimaanisha Over drive iko Off
Na iwe Imezima ikamaanisha OverDrive iko On.

Sasa nimegundua wengi wakiona taa inawaka huminya Button ili izime Kumbe ndio wameweka kwnye OD.

Wewe ndio umekosea kabisa,naomba nisome kwa makini!

Katika hali ya kawaida OD INATAKIWA iwe ON,ndio maana huoni taa,meaning iko ON. Kazi yake ni nini?

OD ina over ride engine,yaani gari inawahi kuingiza gear inayofuata bila rpm kwenda kwenye maximum,na hivyo kuokoa mafuta.

Ukiona taa nyekundu OD OFF ina maana umeondoa uwezo was gearbox Ku over ride engine kwa maana hio engine ita rev to maximum ndio gear inayofuata itaingia,kwa njia hii utapata MAXIMUM POWER from your engine.

Kifupi ukiwa unapanda mlima au unataka kumpita mtu unazima OD ndio unaona yale maandishi OD OFF,hapo unapata max power,lakini kwa uendeshaji wa kawaida OD must be ON yaani ile taa haitakiwi ionekane ndio maana Ina rangi nyekundu Mara nyingi.
 
Usahihi ni huu:

Siku zote OD inatakiwa kuwa ON ili kusave fuel consuption.

Hivyo OD ikiwa ON hakuna taa itakayowaka.

Lakini OD ikiwa OFF taa itawaka kukuonyesha au kuku alert kwamba unatumia mafuta mengi.

Taa huwa zinawaka kwa vitu visivyo vya kawaida.

Unaweka OD OFF kwa mazingira maalumu km vile milima mikali, mashimo nk
 

100% correct!
 
Last edited by a moderator:

100% correct!
 

You are completely wrong.....!
 
Kwa kawaida OD inatakiwa iwe ON. Mara nyingi huwa naendesha sehemu zenye milima, na nikiwa nashuka mlima ndio naweka OFF ili gari lisiende kwenye OD na kuwa na mwendo mkali. Kama mteremko ni mkali naweka gear 2 au hata L kutegemea na mteremko ulivyo mkali.
 
nimegundua hili somo nilikubwa watu bado hatujaelewa vizuri .. bado kuna mkanganyiko wa mambo .
 
Lesseni za vichochoroni hizi kazi kweli kweli

Taa yoyote Ile inayowaka kwenye dashboard maanake ni "alert" au sijui niseme alarm kuwa either kuna kitu hakipo Sawa na unapaswa uchunguze au Kama umechunguza na ukaamua kuendesha hivyo hivyo manaake ni kuwa umekielewa hicho kisicho Sawa na umekusudia kutembea hivyo hivyo. Kuanzia indicator, hazard lights, Taa za kawaida, full lights, kufunga mkanda, betrii, oil check, Taa iliyoungua pamoja na hiyo OD. Dashboard inatakiwa iwe clear.

BTW Pale kwenye alert ya OD kuna hadi Taa za kucheki Kama airbags ziko zinafanya kazi au hazifanyi na sensor yake isipoziditect itawaka pia.
 
Hiv kumbe jf nizaidi ya darasa aisee,sikulijua hilo thanx wachangiaji,ni majuzi tu nimetoka mwanza kuja dar,njiani niloyapita magari mengisaana ila kwa mtindo wakubofya kale ka butom ka od gari inaseleleka balaa wakuu mmeongea vizuri aisee thanx all.
 

Naomba nieleweshe maana ya OFF na ON .

Coz Taa ya Dashboard inawaka ikiwa imeandika OFF ... OD OFF ...

Kwa maelezo yako inatupasa kuendesha gari ikiwa kwnye Over Drive .

Coz taa ikizima ina maanisha OD ON.
 
nimegundua hili somo nilikubwa watu bado hatujaelewa vizuri .. bado kuna mkanganyiko wa mambo .

mandella nadhani wewe ndio unaelewa kinyume cha usahihi wa hili somo.
Msome prondo na Inkoskaz mara nyingine tena ufaidike.

Unaweza kuzi quote thread zao kwenye post yako hapo juu ili wasomaji wasile matango mwitu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…