RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Magari mengi taa ya OD inapaswa kuwaka Kama Ikimaanisha Over drive iko Off
Na iwe Imezima ikamaanisha OverDrive iko On.
Sasa nimegundua wengi wakiona taa inawaka huminya Button ili izime Kumbe ndio wameweka kwnye OD.
Wewe ndio umekosea kabisa,naomba nisome kwa makini!
Katika hali ya kawaida OD INATAKIWA iwe ON,ndio maana huoni taa,meaning iko ON. Kazi yake ni nini?
OD ina over ride engine,yaani gari inawahi kuingiza gear inayofuata bila rpm kwenda kwenye maximum,na hivyo kuokoa mafuta.
Ukiona taa nyekundu OD OFF ina maana umeondoa uwezo was gearbox Ku over ride engine kwa maana hio engine ita rev to maximum ndio gear inayofuata itaingia,kwa njia hii utapata MAXIMUM POWER from your engine.
Kifupi ukiwa unapanda mlima au unataka kumpita mtu unazima OD ndio unaona yale maandishi OD OFF,hapo unapata max power,lakini kwa uendeshaji wa kawaida OD must be ON yaani ile taa haitakiwi ionekane ndio maana Ina rangi nyekundu Mara nyingi.