chaka D2D2 - ni kwa ajili ya gia kama 3 au 4.... Lengo la D2 ni kufanya gari iwe inacheza kati gia hizo na mara nyingi hutumika katika safari ndefu ..... Yaaani zile safari za kufunguka ambao gia namba 1 au 2 ni nadra kutumia.
L - lower gear mara nyingi hutumika kufunga au kulook gia namba 1. Hutumika katika kupanda vilima vikali na visumbufu au sehemu korofi ambapo gia hii huwa na nguvu kuliko gia nyinginezo pia hutumika katika kuchuka vilima vikali... Inadaidia brake pad zisipate joto haraka. Na kwa maana hiyo. Engine haiwezi kuchanga mwendo au kuongeza mwendo wakati gari linachuka. Mwendo wake unakuwa kama umefungwa au kubanwa.
Kama huamini Google kwa kina
Kwenye ungo kuna OD?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kule ni imitation ya huku na huku ni imitation ya kuleKwenye ungo kuna OD?!
Asante sana kwa elimuAuthentique
labda tuseme kwa uelewa wangu kwa hizi gari Auto ni kuwa Over drive ni gear zinazokuwa ndogo kwa mzunguko wa engine RPM ile crankshaft na propeller vikiwa sawa ki-diamete tunaita ratio ya 1;1 ( kwa Noah huwa ni 4) ukiingiza overdrive 1 > (Noah juwa ni 5 na kuendelea ndizo overdrive utakuwa na mzunguko mara nyingi kuliko injini gear no. 4 na hapo inaweza kukuta upo highway
wakati upo speed na unataka kuovertake unai off ili gear zirudi chini (gari utanguruma sana na RPM itapanda ndipo unabonyeza tena over drive
Overdrive is a term used to describe the operation of an automobile cruising at sustained speed ... These had a direct (1:1) fourth gear with an overdrive 5th gear, replacing the need for the separate overdrive gearbox.
Na pia OD inasaidia engine na mafuta vitumike bizuri kwani vinatumika kidogo kwa mwendo mkaliKwa hizi gari tunatumia OD ili kuipumzisha engine kwani bila hiyo gari ingetumia RPM kubwa na mengine soma hapa
Usage. Generally speaking, overdrive is the highest gear in the transmission. Overdrive allows the engine to operate at a lower RPM for a given road speed. This allows the vehicle to achieve better fuel efficiency, and often quieter operation on the highway.
but you can use it once you get up to highway speed. Use the overdrive or top gear after the car reaches cruising speed when you want to maintain speed with lower rpm, and you won't need to accelerate.Gearbox without electro-hydraulic operated overdrive. (Note the thin tail end under the gearshift lever)
kayika hiyo gearbox kwa mbele upande wa kushoto kwenye hiyo housing ndio kuna Flywheel, Pressyre plate na clutchplate na ndiko kwenye engine katikati ndipo kuna gear zina ukubwa tofauti no 4 inakuwa na ukubwa sawa na mzunguko wa shaft iliyobeba pisto, mwisho kulia ndiko kwenye gear ndogo za hiyo 4 (OD)
labda niseme Overdruve ipo tangua miaka ya 47 zile Layland Albion au Land Rover unasujua akatupia Over ni gear yenye mwendo (ambayo ni ndogo zaidi ya mzingiko wa engine ) RPM
Nilivowasoma viongozi hapo juu, over drive ikiwa on dashboard haioneshi kitu chochote....kwa lugha nyingine muda mwingi hizi gari tunatembea zikiwa overdriveMi nataka niulize hivi over drive in kuwa on ile taa yake kwenye dash board ikiwaka au ikizima kwa sababu ninapata majibu ya tofauti naombeni msaada
Ni kweli wengi wanapenda kuiwasha /kuitumia OD kwa kutoelewa au kwa nia tu ya kushoot gari wakati wowote waikute 5 gear kwa sababu ukiizima itaishia no4 au wengine 3 tu na over ni speed ya 70 -80km/hMi nataka niulize hivi over drive in kuwa on ile taa yake kwenye dash board ikiwaka au ikizima kwa sababu ninapata majibu ya tofauti naombeni msaada
Mkuu nashukuru kwa walionielewa maana ualimu si fani yetu ula gereji na muda niliokuwa nikiandika ni manane walukiwepo wale wa UNGO wakinisubiri nilijua sitaeleweka. ngoja waje wengine siku hizi magari km Range wameanza kutumia knob km cha redio kwa hiyo wale tuliozoea kupiga fimbo mpaka inachomoka au unaisimamia clutch hatutawezaAsante sana kwa elimu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]umenikumbusha kitu wakati huo najifunza kupaaMkuu nashukuru kwa walionielewa maana ualimu si fani yetu ula gereji na muda niliokuwa nikiandika ni manane walukiwepo wale wa UNGO wakinisubiri nilijua sitaeleweka. ngoja waje wengine siku hizi magari km Range wameanza kutumia knob km cha redio kwa hiyo wale tuliozoea kupiga fimbo mpaka inachomoka au unaisimamia clutch hatutaweza
chaka D2
Ni 2 na 3
Nimekujibu swali lako mkuuNaombeni msaada kwenye hili, O/D (over drive)inafanyaje kazi kwenye gari?
kwa kawaida gari za automatic zina gia 4 hadi 5 mara nyingi gari hiyo itatumia gia 1 hadi 3 over drive ikiwa off, so ukiweka overdrive on unaruhusu gari litumie gia zaidi ya namba 3 na hivyo kulifanya gari likimbie zaidi, pia fuel consumption inakua kubwaNaombeni msaada kwenye hili, O/D (over drive)inafanyaje kazi kwenye gari?
Kwa iyo kama iyo over drive (O/D) ipo ON. Alafu unatembea matembezi ya apa mjini ya speed ya 50. Akuna madhara yoyoteO/D huwa mda wote kwa gari zilizo nying inakuwa ON ila kui turn OFF ndio optional na yenyewe hutumika zaid unapo kuwa mwendo kasi zaid ya 80kmh hufanya gari kuwa na mwendo na gari kuwa nyepesi lakin stable isiyo kuwa na kelele nyingi pia huruhusu gar kuingage automatic kwenye gia nyepesi kwa haraka hata ukiwa katika mwendo wa wastani. Kifupi ni hivyo.
Hiyo huwa ipo ON na ndio default ila utaamua wewe kui OFF lakin inashauriwa iwe ON mda wote coz gari ita ji engage yenyewe kuvuka gia namba 5 au 4 lakin ikiwa OFF unaweza tembelea gia namb tatu hata kwenye tambarate mkuu kitu ambacho utaichosha engine na mafuta yataliwa balaa ,hiyo O/D waweza iweka off kama sehemu unayo pita ina miinuko mingi sana hivyo hauvuki 80kmph na unahitaji gari iwe na nzinto kuhimili miinuko hiyo maana yake gari yako itakuwa inacheza na gia kubwa tu yaan 1 had 3 na haita engage 4 au 5.Kwa iyo kama iyo over drive (O/D) ipo ON. Alafu unatembea matembezi ya apa mjini ya speed ya 50. Akuna madhara yoyote