Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

D2 - ni kwa ajili ya gia kama 3 au 4.... Lengo la D2 ni kufanya gari iwe inacheza kati gia hizo na mara nyingi hutumika katika safari ndefu ..... Yaaani zile safari za kufunguka ambao gia namba 1 au 2 ni nadra kutumia.

L - lower gear mara nyingi hutumika kufunga au kulook gia namba 1. Hutumika katika kupanda vilima vikali na visumbufu au sehemu korofi ambapo gia hii huwa na nguvu kuliko gia nyinginezo pia hutumika katika kuchuka vilima vikali... Inadaidia brake pad zisipate joto haraka. Na kwa maana hiyo. Engine haiwezi kuchanga mwendo au kuongeza mwendo wakati gari linachuka. Mwendo wake unakuwa kama umefungwa au kubanwa.

Kama huamini Google kwa kina
chaka D2
Ni 2 na 3
 
Wakati mwingine ukiwa speed zaidi ya 80 weka R,
Kitakachotokea tupe mrejesho wake ili nasi tupate uzoefu wako mkuu.
 
xt5
labda tuseme kwa uelewa wangu kwa hizi gari Auto ni kuwa Over drive ni gear zinazokuwa ndogo kwa mzunguko wa engine RPM ile crankshaft na propeller vikiwa sawa ki-diamete tunaita ratio ya 1;1 ( kwa Noah huwa ni 4) ukiingiza overdrive ratio ya 1 > (Noah huwa ni 5 na kuendelea ndizo overdrive utakuwa na mzunguko mara nyingi kuliko injini gear no. 4 na hapo inaweza kukuta upo highway
wakati upo speed na unataka kuovertake unai off ili gear zirudi chini (gari utanguruma sana na RPM itapanda ndipo unabonyeza tena over drive
Overdrive is a term used to describe the operation of an automobile cruising at sustained speed ... These had a direct (1:1) fourth gear with an overdrive 5th gear, replacing the need for the separate overdrive gearbox.

Na pia OD inasaidia engine na mafuta vitumike vizuri kwani vinatumika kidogo kwa mwendo mkali
Usage. Generally speaking, overdrive is the highest gear in the transmission. Overdrive allows the engine to operate at a lower RPM for a given road speed. This allows the vehicle to achieve better fuel efficiency, and often quieter operation on the highway.
Kwa hizi gari tunatumia OD ili kuipumzisha engine kwani bila hiyo gari ingetumia RPM kubwa na mengine soma hapa
but you can use it once you get up to highway speed. Use the overdrive or top gear after the car reaches cruising speed when you want to maintain speed with lower rpm, and you won't need to accelerate.
220px-Triumph_Gearbox_without_Overdrive_-_2.jpg
Gearbox without electro-hydraulic operated overdrive. (Note the thin tail end under the gearshift lever)
katika hiyo gearbox kwa mbele upande wa kushoto kwenye hiyo housing ndio kuna Flywheel, Pressure plate na clutchplate na ndiko kwenye engine katikati ndipo kuna gear zina ukubwa tofauti no 4 inakuwa na ukubwa sawa na mzunguko wa crank-shaft iliyobeba piston, mwisho kulia ndiko kwenye gear ndogo zaidi ya hiyo 4 ndizo huitwa (OD)
images
images
labda niseme Overdrive ipo tangia miaka ya 47 zile Layland Albion au Land Rover unasikia dereva akatupia Over ni gear yenye mwendo (ambayo ni ndogo zaidi ya mzunguko wa engine ) RPM

Authentique
labda tuseme kwa uelewa wangu kwa hizi gari Auto ni kuwa Over drive ni gear zinazokuwa ndogo kwa mzunguko wa engine RPM ile crankshaft na propeller vikiwa sawa ki-diamete tunaita ratio ya 1;1 ( kwa Noah huwa ni 4) ukiingiza overdrive 1 > (Noah juwa ni 5 na kuendelea ndizo overdrive utakuwa na mzunguko mara nyingi kuliko injini gear no. 4 na hapo inaweza kukuta upo highway
wakati upo speed na unataka kuovertake unai off ili gear zirudi chini (gari utanguruma sana na RPM itapanda ndipo unabonyeza tena over drive
Overdrive is a term used to describe the operation of an automobile cruising at sustained speed ... These had a direct (1:1) fourth gear with an overdrive 5th gear, replacing the need for the separate overdrive gearbox.

Na pia OD inasaidia engine na mafuta vitumike bizuri kwani vinatumika kidogo kwa mwendo mkali
Usage. Generally speaking, overdrive is the highest gear in the transmission. Overdrive allows the engine to operate at a lower RPM for a given road speed. This allows the vehicle to achieve better fuel efficiency, and often quieter operation on the highway.
Kwa hizi gari tunatumia OD ili kuipumzisha engine kwani bila hiyo gari ingetumia RPM kubwa na mengine soma hapa
but you can use it once you get up to highway speed. Use the overdrive or top gear after the car reaches cruising speed when you want to maintain speed with lower rpm, and you won't need to accelerate.
220px-Triumph_Gearbox_without_Overdrive_-_2.jpg
Gearbox without electro-hydraulic operated overdrive. (Note the thin tail end under the gearshift lever)
kayika hiyo gearbox kwa mbele upande wa kushoto kwenye hiyo housing ndio kuna Flywheel, Pressyre plate na clutchplate na ndiko kwenye engine katikati ndipo kuna gear zina ukubwa tofauti no 4 inakuwa na ukubwa sawa na mzunguko wa shaft iliyobeba pisto, mwisho kulia ndiko kwenye gear ndogo za hiyo 4 (OD)
images
images
labda niseme Overdruve ipo tangua miaka ya 47 zile Layland Albion au Land Rover unasujua akatupia Over ni gear yenye mwendo (ambayo ni ndogo zaidi ya mzingiko wa engine ) RPM

Asante sana kwa elimu
 
Mi nataka niulize hivi over drive in kuwa on ile taa yake kwenye dash board ikiwaka au ikizima kwa sababu ninapata majibu ya tofauti naombeni msaada
 
Mi nataka niulize hivi over drive in kuwa on ile taa yake kwenye dash board ikiwaka au ikizima kwa sababu ninapata majibu ya tofauti naombeni msaada
Nilivowasoma viongozi hapo juu, over drive ikiwa on dashboard haioneshi kitu chochote....kwa lugha nyingine muda mwingi hizi gari tunatembea zikiwa overdrive
 
Mi nataka niulize hivi over drive in kuwa on ile taa yake kwenye dash board ikiwaka au ikizima kwa sababu ninapata majibu ya tofauti naombeni msaada
Ni kweli wengi wanapenda kuiwasha /kuitumia OD kwa kutoelewa au kwa nia tu ya kushoot gari wakati wowote waikute 5 gear kwa sababu ukiizima itaishia no4 au wengine 3 tu na over ni speed ya 70 -80km/h
kwenye Manual unaweza kuruka gear km gari yako ni nzima kwenye (kuchomoka) pulling unaweza kuanzia 0 speed ukiwa N0 2 au tambarare unaweza vuta No 3 ukatupia No5 ni sawa na mtu anavyoiwasha OD madhara ya kwenye Auto sijayajua lakini Manual zile gear hazina matatizo zitajiingiza bila tatizo na inaweza toka N0 5 ukapunguzia No 3 lkn lazima ujue RPM yako na gari lako maana ukiingiza kimakosa No1ndio hatari (Auto inapitia hatua zote hizo kupunguza.
Magari haya ya siku hizi yana Auto na manual hapohapo kwenye (Stick/shift) kirungu cha gear ni chaguo lako ukitaka Manual utakuwa unapanda na unashuka hatua kama za manual na pia yana gear za kawaida na 4wd (miguu yote) hapo hapo kwenye stick

ngoja waje wataalam zaidi
 
Asante sana kwa elimu
Mkuu nashukuru kwa walionielewa maana ualimu si fani yetu ula gereji na muda niliokuwa nikiandika ni manane walukiwepo wale wa UNGO wakinisubiri nilijua sitaeleweka. ngoja waje wengine siku hizi magari km Range wameanza kutumia knob km cha redio kwa hiyo wale tuliozoea kupiga fimbo mpaka inachomoka au unaisimamia clutch hatutaweza

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]umenikumbusha kitu wakati huo najifunza kupaa
 
Over driver inatumika wakati upo kwenye mwendo mkali,hii gia kazi yake ni kupangua kutoka namba 4 kurudi 3 ama 5 kurudi 4.kama ni kusimama utasimama kwa wakati ukitumia na brake zako,na kama ni kuovertake Gari itakuwa imepata nguvu sana kwa sababu itakuwa inaanzia kwenye gia nzito.ukibonyeza na mafuta utaona inavyoamkaa.pia naomba uelewe kwamba Gari ndogo nyingi zina gia 4 tu.tukiacha na zenye gia 3 ambazo hazina o/D.
 
Naombeni msaada kwenye hili, O/D (over drive)inafanyaje kazi kwenye gari?
kwa kawaida gari za automatic zina gia 4 hadi 5 mara nyingi gari hiyo itatumia gia 1 hadi 3 over drive ikiwa off, so ukiweka overdrive on unaruhusu gari litumie gia zaidi ya namba 3 na hivyo kulifanya gari likimbie zaidi, pia fuel consumption inakua kubwa
 
O/D huwa mda wote kwa gari zilizo nying inakuwa ON ila kui turn OFF ndio optional na yenyewe hutumika zaid unapo kuwa mwendo kasi zaid ya 80kmh hufanya gari kuwa na mwendo na gari kuwa nyepesi lakin stable isiyo kuwa na kelele nyingi pia huruhusu gar kuingage automatic kwenye gia nyepesi kwa haraka hata ukiwa katika mwendo wa wastani. Kifupi ni hivyo.
Kwa iyo kama iyo over drive (O/D) ipo ON. Alafu unatembea matembezi ya apa mjini ya speed ya 50. Akuna madhara yoyote
 
Kwa iyo kama iyo over drive (O/D) ipo ON. Alafu unatembea matembezi ya apa mjini ya speed ya 50. Akuna madhara yoyote
Hiyo huwa ipo ON na ndio default ila utaamua wewe kui OFF lakin inashauriwa iwe ON mda wote coz gari ita ji engage yenyewe kuvuka gia namba 5 au 4 lakin ikiwa OFF unaweza tembelea gia namb tatu hata kwenye tambarate mkuu kitu ambacho utaichosha engine na mafuta yataliwa balaa ,hiyo O/D waweza iweka off kama sehemu unayo pita ina miinuko mingi sana hivyo hauvuki 80kmph na unahitaji gari iwe na nzinto kuhimili miinuko hiyo maana yake gari yako itakuwa inacheza na gia kubwa tu yaan 1 had 3 na haita engage 4 au 5.
 
Back
Top Bottom