mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Bado nachanganyikiwa. Kwa maana unasema kwa mjini tuwe tunatumia pale taa ikiwa imewaka(kwa tafsiri unayonipa ni OFF) na tukiwa kwenye highway tuache dash board ikiwa haina taa(kwa tafsiri hii ni On,) je hii inaakisi uhalisia kweli kwenye gari za Toyota?
Sio gari zote zina hiyo button, kama yako haina weka D tembeaJamani gari yangu haina hzo button za over drive ni toyota wish ila ikifika speed 90 na kuendelea huwa engine inabadili sauti na mvumo na inaanza kukimbia sana je mfumo wake ni tofauti?
I hate automatic Transmission cars.Wakuu naomba kufahamishwa, ni mahala au muda gani natakiwa kutumia OverDrive funcionality kwenye auto transmission. Ni kwa Ufahamu tu
Nawasilisha
------
---
Hahahaha dunia inahamia ukoI hate automatic Transmission cars.
Labda kwa aina na aina ila kaboxer kangu hakana mkuu[emoji28][emoji28]ivi pikipiki nazo zina hiyo overdrive..!?
Hahahaha umegundua kuwa kule kuvuma kwa gari ndiyo kulikuchanganya ukahisi gari iko speedy?Imenibidi kujiridhisha. Leo nilipoanza safari, hapa Dar,niliacha dash Board ikiwa haina kile kitaa,nikawa engage kile kitaa,kiukweli RPM inakua juu sana ile taa ikiwa kwenye Dash Board. Hii tayari ikanipa indicator kuwa hapa wese litakua linaliwa kama jini,nikarudisha kwenye hali ya kawaida ya Dashboard kuwa clean,na kweli RPM ikashuka hadi 2 kutoka ike 3. Hivyo,bila kuathiri maelezo na ufafanuzi wa wadau,sitathubutu kuruhusu taa pale isome OD/ OFF,maana hali hiyo huongeza RPM na milio ya ajabu na hivyo wese kuliwa kama maji.
Nilichojifunza,OD/OFF taa ikiwaka ni ON,na isipoonekana, hapo iko OFF. Na ukijichanganya ukaacha OD/OFF utajuta kwa mafuta yatakayoliwa. Ila ni nzuri kama unataka ku overtake kwa ghafla,inakua na nguvu ajabu.Hahahaha umegundua kuwa kule kuvuma kwa gari ndiyo kulikuchanganya ukahisi gari iko speedy?
Taa ya "ODD/OFF" inapowaka Overdrive inakuwa On au Off?huyo aliyesema ukivuka 80 kpm unatumia mafuta kidogo sidhani kama ni mkweli.unavyokanyaga zaidi ndo mafuta yanakwenda zaidi.theory hiyo inawork kama uko kwenye speed kubwa zaidi kama 140 kmp au zaidi au chini ya 80.otherwise overdrive ni kwenda gear number 5 na kwa mazingira ya day iweke off daima kwani wataalam wanasema kuiacha on saa zote ina damage engine kinamna achilia mbali suala la consumption kubwa
Post Namba 526,nimejibu hilo,tena nilifanya jaribio na kikubwa nilikua naangalia mabadiliko katika RPM,kwa hakika,OD/OFF taa ikiwaka,inakua na muungurumo mkubwa na RPM inapanda kutoka normal 2 au 2.2 had 3-3.5, hicho ni kiashiria cha ulaji wa mafuta mengi,wala hutakiwi kwenda Chuo Kikuu kujua hilo.Taa ya "ODD/OFF" inapowaka Overdrive inakuwa On au Off?
So tutembee taa ikiwa inawaka? I mean taa ya ODD/OFF.Post Namba 526,nimejibu hilo,tena nilifanya jaribio na kikubwa nilikua naangalia mabadiliko katika RPM,kwa hakika,OD/OFF taa ikiwaka,inakua na muungurumo mkubwa na RPM inapanda kutoka normal 2 au 2.2 had 3-3.5, hicho ni kiashiria cha ulaji wa mafuta mengi,wala hutakiwi kwenda Chuo Kikuu kujua hilo.
Hapana, tembelea TAA IKIWA IMEZIMA,DASHBOARD ikiwa plain. Kadri ilivyo,taa yoyote kwenye Dashboard ni kuwa kuna matatizo(malfunctions) au kuna kitu Dereva umekiweka kwa sababu maalum.So tutembee taa ikiwa inawaka? I mean taa ya ODD/OFF.
Tembea ikiwa HAIWAKI,pake plainSo tutembee taa ikiwa inawaka? I mean taa ya ODD/OFF.
Mkuu Over drive inakuja unapotaka kwenda speed zaidi ya 80,so gari inakuwa na uwezo wa kuingia gia no 5
huyo aliyesema ukivuka 80 kpm unatumia mafuta kidogo sidhani kama ni mkweli.unavyokanyaga zaidi ndo mafuta yanakwenda zaidi.theory hiyo inawork kama uko kwenye speed kubwa zaidi kama 140 kmp au zaidi au chini ya 80.otherwise overdrive ni kwenda gear number 5 na kwa mazingira ya day iweke off daima kwani wataalam wanasema kuiacha on saa zote ina damage engine kinamna achilia mbali suala la consumption kubwa
Mara nyingi magari haya ya Kijapani au penginepo tunaagiza yaliokwisha kutumika hivyo kupata complete set ya manuals au booklets ni vigumu. Vipo vi gadget vingine watu hawajajua matumizi yake. Better uwasiliane na manufacturrer.
Ukijichanganya ukaweka OD on wakati unatembea speed zaid ya 60km/hr maana yake unatumia gia no 1 na 2. Lazima wese lilike kwa sana. OD ni kama upo miji ya jams sana. Ila kama unatembea zaid ya km 60 toa odImenibidi kujiridhisha. Leo nilipoanza safari, hapa Dar,niliacha dash Board ikiwa haina kile kitaa,nikawa engage kile kitaa,kiukweli RPM inakua juu sana ile taa ikiwa kwenye Dash Board. Hii tayari ikanipa indicator kuwa hapa wese litakua linaliwa kama jini,nikarudisha kwenye hali ya kawaida ya Dashboard kuwa clean,na kweli RPM ikashuka hadi 2 kutoka ike 3. Hivyo,bila kuathiri maelezo na ufafanuzi wa wadau,sitathubutu kuruhusu taa pale isome OD/ OFF,maana hali hiyo huongeza RPM na milio ya ajabu na hivyo wese kuliwa kama maji.
mm sijaelewa maana ya Overdrive gear ni namba ngapi?Ukijichanganya ukaweka OD on wakati unatembea speed zaid ya 60km/hr maana yake unatumia gia no 1 na 2. Lazima wese lilike kwa sana. OD ni kama upo miji ya jams sana. Ila kama unatembea zaid ya km 60 toa od
What is the 'O/D Off' button on my automatic car? - Quora
https://www.quora.com/What-is-the-O-D-Off-button-on-my-automatic-car
O/D” refers to “overdrive”, which is the highest gear in your transmission. Overdrive is used on the highway and when cruising at high speed. It keeps the engine ...
Ukijichanganya ukaweka OD on wakati unatembea speed zaid ya 60km/hr maana yake unatumia gia no 1 na 2. Lazima wese lilike kwa sana. OD ni kama upo miji ya jams sana. Ila kama unatembea zaid ya km 60 toa od