mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Mkuu iache on mda wote usichanganywe na habari za mjini na high way! Sababu ni kwamba ikiwa on haizuii gari kuwa katika low gear vile vile ukiwa high way itaruhusu gari kuwa katika high gear mfano 4/5. Ukiizima uwe na kumbukumbu ya kuiwasha
Bado nachanganyikiwa. Kwa maana unasema kwa mjini tuwe tunatumia pale taa ikiwa imewaka(kwa tafsiri unayonipa ni OFF) na tukiwa kwenye highway tuache dash board ikiwa haina taa(kwa tafsiri hii ni On,) je hii inaakisi uhalisia kweli kwenye gari za Toyota?