mm sijaelewa maana ya Overdrive gear ni namba ngapi?
basi huko nyuma katika Mada nyingine tumedanganyana
Ukijichanganya ukaweka OD on wakati unatembea speed zaid ya 60km/hr maana yake unatumia gia no 1 na 2. Lazima wese lilike kwa sana. OD ni kama upo miji ya jams sana. Ila kama unatembea zaid ya km 60 toa od
Wewe ndo hujui tuliahuyo aliyesema ukivuka 80 kpm unatumia mafuta kidogo sidhani kama ni mkweli.unavyokanyaga zaidi ndo mafuta yanakwenda zaidi.theory hiyo inawork kama uko kwenye speed kubwa zaidi kama 140 kmp au zaidi au chini ya 80.otherwise overdrive ni kwenda gear number 5 na kwa mazingira ya day iweke off daima kwani wataalam wanasema kuiacha on saa zote ina damage engine kinamna achilia mbali suala la consumption kubwa
Wewe ndiyo unajichanganya! OD ikiwa off ndiyo inawaka kwenye dashboard lakini ikiwa on inatoweka kwenye dashboardBado kuna mkanganyiko. Je pale kwenye Dashboard, Overdrive ikiwa 'ON', ni pale Dashboard inapowaka au inapokua imezima?
Overdrive ikiwa "OFF", ni pale Dashboard inapokua imezima au inapokua imewka?
Hii inachanganya sana, hasa kulinganisha matendo ya kubonyeza Nob yake pale kwenye gear rod!
Nilitegemea kwa kuandika hvyo ukiweka 3 ndio OD inakuwa ON.Niliwahi kureply hii post kuhusu OD. Baada ya kuwa na project ya kubadilisha engine kwenye gari na kuweka engine tofauti na ile ilokuja na gari ndio nikapanua uelewa wangu kwenye overdrive. OD ni highest gear. Kwaio kama gearbox yako ina gear nne za kuendesha, ile namba nne ndio over drive (ON). Kuna baadhi ya magari pale kwenye shifter utakuta P R N D 3 2 L. Ukiweka kwenye 3 maana yake OD iko Off, ukiweka kwenye D manake OD ipo ON na gari inaweza kuchanga kutoka 3 kuingia gear ya 4. Gari zenye mfumo huo, huwa hazina button ya overdrive wala kwenye dashboard hakuna taa ya OD off.
Hapana sio kweli, inatakiwa kuwa inawaka maana inakwambia pale ukisoma ni OD/OFF sasa ukibonyeza ile batani maana ndio umeiwasha.Hapana,tembelea TAA IKIWA IMEZIMA,DASHBOARD ikiwa plain. Kadri ilivyo,taa yoyote kwenye Dashboard ni kuwa kuna matatizo(malfunctions) au kuna kitu Dereva umekiweka kwa sababu maalum. Kwa mfano,hiyo ikiwa inawaka,na kuna mtu unataka kumpita,iweke kwa haraka halafu kanyaga mafuta kwa kasi uone gari linavyopaa,ndani ya sekunde 10 tu utaweza kum overtake na kuweza kukaa sehem salama kuepuka kugongana uso kwa uso na gari la mbele yako maana kuna madereva huko barabarani(highway) wana roho za ajabu sana
Kuanzia 40km/hWanashauri.speed above 50 KM/ hr
Amechanganya mafileNadhani umeongea kinyume.. ukiwa below 60 toa OD.
Overdrive ni kwaajiri ya kuspeed na sio kutembea taratibu sasa why unasema hivyo.....Ukijichanganya ukaweka OD on wakati unatembea speed zaid ya 60km/hr maana yake unatumia gia no 1 na 2. Lazima wese lilike kwa sana. OD ni kama upo miji ya jams sana. Ila kama unatembea zaid ya km 60 toa od
Sio gear ni kama function ya gari ya kuongeza nguvu kwenye engine. Kama vile ukiwa unaangalia movie za Need for speed unaona kuna kitu wanaitwa Nitrous kina kama mtungi hivi ukiwashwa gari inaongeza nguvu basi na overdrive ni hivyo hivyo.....mm sijaelewa maana ya Overdrive gear ni namba ngapi?
basi huko nyuma katika Mada nyingine tumedanganyana
Unapobonyeza button ya overdrive ile taa huwa inazima kuashiria umeiwasha but ukiizima ile taa huwa inabakia imewaka muda woteBado kuna mkanganyiko. Je pale kwenye Dashboard, Overdrive ikiwa 'ON', ni pale Dashboard inapowaka au inapokua imezima?
Overdrive ikiwa "OFF", ni pale Dashboard inapokua imezima au inapokua imewka?
Hii inachanganya sana, hasa kulinganisha matendo ya kubonyeza Nob yake pale kwenye gear rod!
Hamna, 3 ni OD off pamoja na 2 na 1/L ikiwa mfumo wa gearbox wako una gear 4. Overdrive ni the highest gear. Unapoweka D, manake unaweze kushift kutoka zile gear za chini 1-3 kwenda 4 ambayo ni ya mwisho, na unapoweka OFF manake haitoingia gear ya mwisho.Nilitegemea kwa kuandika hvyo ukiweka 3 ndio OD inakuwa ON.
Overdrive ni gear mkuu. Na ni gear ya mwisho kwenye gearbox yako. nimetoa vimaelezo kidogo apo juu chekiSio gear ni kama function ya gari ya kuongeza nguvu kwenye engine. Kama vile ukiwa unaangalia movie za Need for speed unaona kuna kitu wanaitwa Nitrous kina kama mtungi hivi ukiwashwa gari inaongeza nguvu basi na overdrive ni hivyo hivyo.....
Boss gari lina gear 4,tena baada ya hapo kuna gear namba ngapi?!Overdrive ni gear mkuu. Na ni gear ya mwisho kwenye gearbox yako. nimetoa vimaelezo kidogo apo juu cheki
Maana kama haujajua hata kwenye list ya gear pale huwa kuna ile gear inaandikwa nadhani ni D2 ambayo ukiweka mzunguko wa gari unaongezeka.... So hebu nipe ufafanuziOverdrive ni gear mkuu. Na ni gear ya mwisho kwenye gearbox yako. nimetoa vimaelezo kidogo apo juu cheki
Kuna Gear 5, sita, nane zote zipo izo. Kwaio kama gari yao ina gear nne, ile gear ya nne huwa Overdrive ON. na unapoweka stick kwenye tatu ni sawa na kuwa umeweka OFF. Maanake yake, haitoingia gear ya mwisho. Kwenye gari za kawaida ambazo zina button ya OD, ukiweka D halafu ukaiweka ON manake sasa gari itatoka gear ya tatu kwenda ya nne.Boss gari lina gear 4,tena baada ya hapo kuna gear namba ngapi?!