Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

nadhani umuhimu wa overdrive na matumizi yake tumeuelewa lakini sasa naona tatizo ni wakati gani iko off au on yaani taa ya njano ikiwaka ndo iko on au off..?
 
Habari wakuu.
Ninaomba kujua matumizi ya mafuta kwenye over drive yani kati ya OD OFF na OD ikiwa ON.
Ipi inakula sana mafuta maana ule uzi wa nagari siku hizi siuoni.
 
hizo ni gia mbili zenye kazi tofauti, kwa jibu lako kwa haraka OD OFF inatumia mafuta zaidi kuliko OD ON, lakini mfano uko mjini unazunguka mitaani SIO sahihi kutumia OD ON ni lazima utumie OD OFF, Vile vile uko high way safarini unatumia OD ON, kuongeza kwa gari kuseleleka/free speed na economically
 
Wakuu kwema?
Naomba msaada wa kujua matumizi ya mafuta OD OFF na ikiwa OD ON kwa mfano mimi nina gari yangu cc 1500 muda wote OD ON na ninafanya kazi jirani sana yani km 6 kwenda na kurudi na mwendo wangu ni mdogo sana na sina misele
Sana.
Nyumbani kazini,kazini nyumbani lkn kwa wiki natumia 30000 ya mafuta kama liter 16 hv.
Msaada hapo
 
Tafta uzi upo humu watu washatoa darasa. Ila mi ninavyofahamu haitakiwi kuwa on na unaiweka on ukiwa unaovertake ili kuifanya gari kuwa nyepesi hasa ukiwa Highway na inakuwa na power kubwa, it means hata wese inakuwa inabwia sana. Naruhusu kukosolewa!
 
hizo ni gia mbili zenye kazi tofauti, kwa jibu lako kwa haraka OD OFF inatumia mafuta zaidi kuliko OD ON, lakini mfano uko mjini unazunguka mitaani SIO sahihi kutumia OD ON ni lazima utumie OD OFF, Vile vile uko high way safarini unatumia OD ON, kuongeza kwa gari kuseleleka/free speed na economically
Kwa hiyo mkuu kwa ruti za mjini ukibonyeza batani ikiandika OD OFF haili mafuta,!
 
Habari wakuu.
Ninaomba kujua matumizi ya mafuta kwenye over drive yani kati ya OD OFF na OD ikiwa ON.
Ipi inakula sana mafuta maana ule uzi wa nagari siku hizi siuoni.
Nadhani itakusaidia sana kwenye udereva

55d3fba193c5208255b51b3717aeafc8.jpg

b0ed14f855451ce63505a63853d7fc85.jpg

f23ff4ed45950458cb62873b46e3b831.jpg

85c2ea3e64ca3e6b5482376930aec8ea.jpg

17f915b13ba39c89f1c1e2076ec1ace9.jpg
 
hizo ni gia mbili zenye kazi tofauti, kwa jibu lako kwa haraka OD OFF inatumia mafuta zaidi kuliko OD ON, lakini mfano uko mjini unazunguka mitaani SIO sahihi kutumia OD ON ni lazima utumie OD OFF, Vile vile uko high way safarini unatumia OD ON, kuongeza kwa gari kuseleleka/free speed na economically
kuna kitu unakichanganya hapa mkuu kati ya batan ya kwenye gear river na warning light ya O/D OFF ya kwenye dash board. kumbuka taa isipokuwa inaonyesha kwenye dash board hapo O/D huwa inakuwa ON na ukiona umebonyeza na imewaka basi ujue hapo ipo OFF

kwa upande wangu naweza nikawa na pingana na maelezo yako kwa namna hii mda wote unapoendesha gari ni vyema OD ikawa ON kwa sababu gari itakuwa nyepesi na haita kula mafuta.ukiweka OFF itakula mafuta.

mfano ukiwa kwenye speed 80 ukabonyeza switch ya od inamaana hapo unaiweka off kitakachofanyika hapo kama mshale wa rpm ulikuwa kwenye 2.5 utapanda mpaka kwenye 3 na point then mshale wa speed uta shuka mpaka kwenye 70 na gari itachomoka kwa kasi zaidi tofauti na mwanzo .hivyo kwa uendeshaji huo gari inakuwa inakula sana mafuta kama utautumia mda wote.but inaweza ikawa haina madhara kama itakuwa off mda wote harafu unatembelea gear namba 1 na 2.
 
Mkuu ulichoongea kwa sehemu kubwa ndio ukweli.Mfano ninapotaka ku overtake gari ambalo ni refu sana nikiwa high way hua nazima OD hii huniwezesha gari i engage fasta na kukolea but at higher rpm hivyo accelerate more na fuel consumption inakua juu.

Pia ukiwa unapanda mlima kwa ukizima OD unatambaa fasta ila sometime ukiwa low land alafu uko high speed ukizima OD haileti maana na unaweza usione tofauti zaidi ya ku mis use mafuta.
 
Naombeni msaada kwenye hili, O/D (over drive)inafanyaje kazi kwenye gari?
 
Ni nzuri zaidi wakati una overtake gari na bahati mbaya kuna gari inakuja mbele yako,ili uweze kuwahi kabla hamjakutana uso kwa uso unatakiwa kutumia O/D,lakini ni vizuri gari yako iwe katika speed kuanzia 80kph na kuendelea.
 
Kwahyo unaweza kubadili from D kwenda O/D ukiwa kwemye mwendo..
 
Back
Top Bottom