Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utakuwa umechanganya tunaomba ufatilie na kuuhakiki huo usemi wakoOD on gari linakunywa mafuta sana regardless ni kwa speed gani.
Kwa hiyo mkuu kwa ruti za mjini ukibonyeza batani ikiandika OD OFF haili mafuta,!hizo ni gia mbili zenye kazi tofauti, kwa jibu lako kwa haraka OD OFF inatumia mafuta zaidi kuliko OD ON, lakini mfano uko mjini unazunguka mitaani SIO sahihi kutumia OD ON ni lazima utumie OD OFF, Vile vile uko high way safarini unatumia OD ON, kuongeza kwa gari kuseleleka/free speed na economically
Nadhani itakusaidia sana kwenye uderevaHabari wakuu.
Ninaomba kujua matumizi ya mafuta kwenye over drive yani kati ya OD OFF na OD ikiwa ON.
Ipi inakula sana mafuta maana ule uzi wa nagari siku hizi siuoni.
kuna kitu unakichanganya hapa mkuu kati ya batan ya kwenye gear river na warning light ya O/D OFF ya kwenye dash board. kumbuka taa isipokuwa inaonyesha kwenye dash board hapo O/D huwa inakuwa ON na ukiona umebonyeza na imewaka basi ujue hapo ipo OFFhizo ni gia mbili zenye kazi tofauti, kwa jibu lako kwa haraka OD OFF inatumia mafuta zaidi kuliko OD ON, lakini mfano uko mjini unazunguka mitaani SIO sahihi kutumia OD ON ni lazima utumie OD OFF, Vile vile uko high way safarini unatumia OD ON, kuongeza kwa gari kuseleleka/free speed na economically
Ni kweli.jibu lake ni vice versa.Mkuu utakuwa umechanganya tunaomba ufatilie na kuuhakiki huo usemi wako
Mkuu ulichoongea kwa sehemu kubwa ndio ukweli.Mfano ninapotaka ku overtake gari ambalo ni refu sana nikiwa high way hua nazima OD hii huniwezesha gari i engage fasta na kukolea but at higher rpm hivyo accelerate more na fuel consumption inakua juu.kuna kitu unakichanganya hapa mkuu kati ya batan ya kwenye gear river na warning light ya O/D OFF ya kwenye dash board. kumbuka taa isipokuwa inaonyesha kwenye dash board hapo O/D huwa inakuwa ON na ukiona umebonyeza na imewaka basi ujue hapo ipo OFF
kwa upande wangu naweza nikawa na pingana na maelezo yako kwa namna hii mda wote unapoendesha gari ni vyema OD ikawa ON kwa sababu gari itakuwa nyepesi na haita kula mafuta.ukiweka OFF itakula mafuta.
mfano ukiwa kwenye speed 80 ukabonyeza switch ya od inamaana hapo unaiweka off kitakachofanyika hapo kama mshale wa rpm ulikuwa kwenye 2.5 utapanda mpaka kwenye 3 na point then mshale wa speed uta shuka mpaka kwenye 70 na gari itachomoka kwa kasi zaidi tofauti na mwanzo .hivyo kwa uendeshaji huo gari inakuwa inakula sana mafuta kama utautumia mda wote.but inaweza ikawa haina madhara kama itakuwa off mda wote harafu unatembelea gear namba 1 na 2.
O/D inaleta stability ya gari kwenye mwendo mkubwa normally baada ya 80kphNaombeni msaada kwenye hili, O/D (over drive)inafanyaje kazi kwenye gari?
Ni nzuri zaidi wakati una overtake gari na bahati mbaya kuna gari inakuja mbele yako,ili uweze kuwahi kabla hamjakutana uso kwa uso unatakiwa kutumia O/D,lakini ni vizuri gari yako iwe katika speed kuanzia 80kph na kuendelea.
Kuna button ya O/D kwenye gear lever ya gari yako kwahiyo unachofanya ni kubonyeza tu bila ya kuhamisha kutoka kwenye position ya D.Kwahyo unaweza kubadili from D kwenda O/D ukiwa kwemye mwendo..
Kuna button ya O/D kwenye gear lever ya gari yako kwahiyo unachofanya ni kubonyeza tu bila ya kuhamisha kutoka kwenye position ya D.