Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Shughuli za Ujenzi wa Taifa.
Leo nimeona nilete mjadala mdogo kwa ajili ya wale ambao wanatamani kuazisha biashara ila hawajui ni aina gani ya biashara waanzishe na watumie mfumo gani wa kuianzisha na kuiendesha.Mada ya leo inahusu Mfumo wa Usimamizi na Uendeshaji wa Biasahara ambao Unaitwa Outsourcing au Managed Ventures.
Outsourcing ni nini?Hiki ni kitendo cha kampuni au biashara kuingia makubaliano maalum na kampuni au kwa ajili ya kutoa huduma kadhaa kwa niaba ya kampuni au biashara yake.Makampuni mengi sana duniani yanatumia Mfumo huu hasa katika maeneo ya Information Technology,Customer Service,Marketing,Research and Development,Marketing etc.Kampuni Nyingine zimeenda Mbali kwa kufanya Full Operations Outsourcing au kwa jina lingine Managed Ventures
Full Operation Outsourcing(FOO) ni kitendo cha kampuni kuamua kuingia mkataba na kampuni nyingine ili kutoa huduma zake zote huku yenyewe ikisimamia Usimamizi wa ngazi za Juu yaani Top Management Pekee ambayo inaweza kuwa ni Kurugenzi tu (Board)
Kwa hapa Tanzania Huduma hizi zimekuwepo kwa muda ila kwa sasa kutokana na maendeleo ya teham Uwezekano umezidi kuongezeka wa Kuwa na Aina tofauti na Ya kipekee ya Usimamizi wa Outsourcing.
Karibu tujadili zaidi kuhusu Outsourcing na namna ambavyo inaweza kusaidia katika kuboresha huduma zinazotolewa
Je ungependa kuanzisha kampuni katika mfumo huu wa Outsourcing?Je ungependa kufanya Outsourcing ya Baadhi ya huduma katika kampuni yako?