Haya madude huwa nayaangalia sana kwenye aviation channels nilizo subscribe youtb , basi naishia kuyavutia hisia yaani nami najihisi naruka futi 43,000 kutoka dsm hadi ulaya yani with bright blue sky dah. Hizi fantasy hizi hadi muda mwingne najishtukia