Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

G series always mkuu

G stands for general condition, yani gari iliyoundwa ili ipite mazingira yote off road na on road , zamani zilikuwa zinakuwa na double chassis , hiz series 5 zonakuja na single but very robust chassis, zinakuja na diff ratio ya 3.08 as standard japo ukibahatisha pia unaeza kuipata yenye reduction hub high speed speced...
Mashine yenye Reduction hub fujo zake ni balaa hasa inapokutana na mazingira magumu kama milima huwa naikubali vby mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G series always mkuu

G stands for general condition, yani gari iliyoundwa ili ipite mazingira yote off road na on road , zamani zilikuwa zinakuwa na double chassis , hiz series 5 zonakuja na single but very robust chassis, zinakuja na diff ratio ya 3.08 as standard japo ukibahatisha pia unaeza kuipata yenye reduction hub high speed speced..
Hivi mkuu kati ya Tag axle na Mid lift hasa kwa mazingira yetu haya ipi tractor nzuri hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkuu kati ya Tag axle na Mid lift hasa kwa mazingira yetu haya ipi tractor nzuri hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tag axle all the way!!! Kiufupi tag axle ni kama cheapest and lightest version ya 6x4,

Ila watch out ukinunua tag axled truck hasa hizi used , tag axle ni signature kuwa gari ilinunuliwa kwa ajili ya kufanya kazi ngumu , na inawezekana kweli ikawa imefanya sana kazi ngumu huko ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scania ndio mume wa hao wote. Nilithibitisha kwa safari ya Mbeya hivi karibuni. Basi la Sauli ni Scania saa moja nimefika Mbeya kawapita wote, la pili Alysaid nayo Sacania na tatu nia Imani ambalo ni Higer. Narudi Bongo tena Sauli katufikisha saa moja na dakika 15, ikafuata Imani na baadae Alysaid. Hizo za kichina nasikia ziliingia saa nne.

Yani we bwege kweli kwaiyo Alsaedy ilkua scania na higer nayo scania


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakina Mwanyilu wanakata nyanya saiz nyumbani Sauli bila kuvunja sheria km 100+ kph hawez kua mbele ya Deer


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwan deer yeye havunji ??

mkeka wa mwez huu


KUTOKEA DAR TO NYANDA ZA JUU KUSINI MBEYA, KYELA, TUNDUMA NA SWANGA*

*MWEZI:* *MAY 2020*** [emoji91]
*LOCATION: NSALAGA/UYOLE*

May 01- Golden Deer 712 DPK [emoji1662]
May 02- *Sauli Luxury 685 DPN* [emoji2509]
May 03- Golden Deer 612 DMG[emoji1662]
May 04- *Sauli Luxury 685 DPN* [emoji2509]
May 05- *Sauli Luxury 300 DRH* [emoji2509]
May 06- Golden Deer 715 DPK[emoji1662]
May 07- *Sauli Luxury 300 DRH*[emoji2509]
May 08- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 09- *Sauli Luxury 300 DRH*[emoji2509]
May 10- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 11- *Sauli Luxury 300 DRH*[emoji2509]
May 12- Majinja Special 422 BUL
May 13- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 14- Golden Deer 711 DPK[emoji1662]
May 15- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 16- Golden Deer 712 DPK[emoji1662]
May 17- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 18-
May 19-
May 20-
May 21-
May 22-
May 23-
May 24-
May 25-
May 26-
May 27-
May 28-
May 29-
May 30-
May 31-


Summary ya May*
*1.685 DPN - 7 days* [emoji966]

*2.300 DRH - 4 days*

3.712 DPK -2 days

4.612 DMG - 1 day

5.715 DPK - 1 day

6.422 BUL - 1 day

7.711 DPK - 1 day

[emoji1541][emoji1541][emoji1541] [emoji1541][emoji1541][emoji1541]

*1. SAULI 11 days*[emoji146]

2. GOLDEN DEER 5 days

3.MAJINJAH SPECIAL 1 day





*Pray-Trust-Wait*(PTW)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan deer yeye havunji ??

mkeka wa mwez huu..
Sauli na Golden Deer hawa wanakimbizana hawapeani nafasi ya kupumua.

Juzi nimewakuta wamepaki pembeni kusubiri muda uende kabla ya Iringa Check Point walikuwa wametoka Dar.

Hizi ni kampuni bora kwa kutunza muda.
 
Mkuu actross ni bora sababu nyingi zinakuja kwetu zikiwa immaculate condition, ni wachache pia wanaweza kununua sababu mtumba wake unakuwa ghali, R series huwa tunaona mbovu kwetu sababu nyingi zinakuwa zimwtumika sana ulaya, trust me nyingi zinakuwa over million, ndipo first owner anaamua kuuza,

Sent using Jamii Forums mobile app

Please, check your pm.

Ahsante sana.
 
Scania ndio mume wa hao wote. Nilithibitisha kwa safari ya Mbeya hivi karibuni. Basi la Sauli ni Scania saa moja nimefika Mbeya kawapita wote, la pili Alysaid nayo Sacania na tatu nia Imani ambalo ni Higer. Narudi Bongo tena Sauli katufikisha saa moja na dakika 15, ikafuata Imani na baadae Alysaid. Hizo za kichina nasikia ziliingia saa nne.
Tumetoka Ubungo saa 12 asubui Sauli nikaiona Shekilango ktk ule mzunguko wa sheli ya Total....nikaja iona tena Mbezi foleni asubui....nafika Morogoro nailizia wauza korosho wananiambia itakuwa inaitafuta iringa hapo ni kama saa tano tano hivi aiseeee kama ni kweli ile gari achana nayo...............
Nikasafiri tena majuzi kumbe kuna msafara wa Magu upo nyuma yetu anaenda dodoma....trafiki wakaruhusu gari zote zitembeeeeee zinavyotaka kozi tulikuwa ktk kipande amabcho hakina juction wala sehemu ya kupaki gari....aiseeeeee gari ziliachiwa speeed unasikia alarm inagonga tuuuuuu.............tulipofika sehemu tukakuta magari yote kumbe yamepaki ili magu apite tukaanza kulitafuta Sauli ahahahahahaaaaa yaani Sauli alishapita zamaniiiiiii......wenyewe wanaita Ndege ya kwanza ya ardhini kwenda Mbeya........tiketi zake za kesho zinaisha jana.....haina pale ubungo haina lotto gari inajiuza hahahaaaaaaa
 
Hahahaha, hizo zingine sizijui na siandiki uongo naindika muda niliofika na tulizoongozana nazo. Zaidi ya hizo tatu zijui zingine ilikuwa mara ya kwanza kufika Mbeya
nilitaka kumpandisha mtu Sauli ela ikapungua akapanda New force.........ameingia mbeya saaa 2 wakati Sauli imeshaingia saa moja....inawezekan baadhi ya siku hiyo gari anayosema ilnawai ila kwa Sauli huo ndo muda wake....
 
Pamoja na kwamba scania inadumu zaid ya basi za kichina lakin umetia chumvi

Gari za kichina zinadumu sana tu kama zikipewa service ya kueleweka, cummins kiasili sio technology ya mchina, ile ni mmarekan pure.

Hizi story za kuona scania ndo gari ngumu barabaran ni za kizaman, magari mengi yanayovuka boda kwenda lubumbashi na zimbabwe ni NISSAN DIESEL na MAN, hayo madude ni roho ya paka zaid ya scania

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi Mkuu na bei pia za Nissan Diesel sio ndogo ndio maana watu wanakimbilia Scania yaani ukikuta Scania ya mwaka mmoja na Nissan Diesel hiyo diesel inakua bei juu kidogo huko kwa wauzaji hata Kama hujui kitu utaona hapo kuna tofauti..
Nissan Diesel safari ipo na ya uhakika zaidi ukipata kichwa chake wewe ni kuzunguka tuu na inahimili mazingira magumu ya safari...
 
Scania ndio mume wa hao wote. Nilithibitisha kwa safari ya Mbeya hivi karibuni. Basi la Sauli ni Scania saa moja nimefika Mbeya kawapita wote, la pili Alysaid nayo Sacania na tatu nia Imani ambalo ni Higer. Narudi Bongo tena Sauli katufikisha saa moja na dakika 15, ikafuata Imani na baadae Alysaid. Hizo za kichina nasikia ziliingia saa nne.
Faza Huyo sauli akapambane na Jeshi la Mtu Mmoja ivi KANGI LUGOLA - COVID 19 Dar to Kahama atafurahia hiyo mashine Zhongtong Bus Chuma la Masaa KISBO SAFARI
 
Mjinga mama yako, determining factors za mauzo ni nn?

Ukiona kitu kinauzwa sana jua ni bora pumbaf

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinauzwa sana kwa sababu ni bei ndogo,na watu hawamudu bei ya hivyo vingine kwa sababu ni ghali.

Ubora duni=Bei ndogo=wanunuzi wengi wa viwango vya kati na chini

Ubora wa juu= Bei ghali=wanunuzi wachache wa viwango vya juu.
 
Mkuu scania itabaki kuwa juu siku zote upende usipende, sio kwa zamani tuu hadi sasa, in fact anything Swedish bado ni superior product.

FYI mwaka 1969 scania ndio ilikuwa the most powerful truck in Europe @350hp. Scania (140), miaka ya 90, Scania ndio ilikuwa truck ya kwanza kuvuka 500hp barier scania (143 500),na hadi sasa ninavoandika the most powerful lorry ni Volvo fh750 ikifatiwa na scania s730( both Swedish)

American diesel engines (cummins, Detroit na caterpillar) zinabebwa tu na Jina kubwa la USA, lakini hazijawahi kuwa mahiri barabarani na kiufanisi kiu jumla ndo mana hata hizo basi cummins mchina bado zinasumbiua.




Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yale ma-INTERNATIONAL sijui mmarekani yule exhaust mbili huku na huku zinatema juu angani ni noma balaa. Dude lina tani 70 na linatembea kama teksi! Ule ni zaidi ya Scania na Volvo.
 
Back
Top Bottom