mvaa viatu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 351
- 522
Alsaid ni mchina sio scania, sauli kuna benz na scania hilo imani sijalijua bado kuhusu kuwahi ni dereva tu,ruti ya mbeya siku zote wanachuana sauli na goden dia na anaeanza kufika mbea ni goden dia kisha ndio sauli ila hayo goden dia yapo mengi sana na mengine yanachelewa kufika. mengine nadhani yanaenda tunduma na sumbawanga kama sikoseiScania ndio mume wa hao wote. Nilithibitisha kwa safari ya Mbeya hivi karibuni. Basi la Sauli ni Scania saa moja nimefika Mbeya kawapita wote, la pili Alysaid nayo Sacania na tatu nia Imani ambalo ni Higer. Narudi Bongo tena Sauli katufikisha saa moja na dakika 15, ikafuata Imani na baadae Alysaid. Hizo za kichina nasikia ziliingia saa nne.
Sent using Jamii Forums mobile app