Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

mbona saiv huyo kisbo ana biluzwa na tungis na Allys
Kisbo aache kupeleka Bus zuri Kahama au Mwanza alete Mbeya, ulipewa stori za mtaani tu nilikuwa naziona zile Kisbo zilikuwa za kawaida tu. Hafu ujue kuwa Golden deer za Mbeya hazina madereva wazuri ungesema za Tunduma sawa, hizo za Mbeya hata Rungwe anazichapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
higer gan ya dar lux inasumbua kanda ya ziwa zile ni polo za kichina
Mbn haigher ...za dar lux zinasumbua sana njia ya mwanza to dar....yaani zinavyokohoa hata scania anapata tabu kuzipata sio kila kitu cha mchina ni kibovu

Service ndio inafanya magari haya kusumbua magari haya yanamfumo wa mechanic na electronic ...mafundi wengi wanayatengeneza kwa kubahatisha ndio maana hayadumu

sent from toyota Allex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ndo maana mchina mwenye horse power 360 anaachwa vizuri tu na Scania yenye horse power 310
Natamani nikuelezee Uzuri ila sidhan kam tutaelewana, angular force torque ipo kwenye kila engine , ila engine huwa zinatofautiana jinsi zinavoweza kuhimili hiyo force bila kutetereka ,
Mwisho wa siku torque ndo inadetermine ufanisi na sio power tena ndo mana unashangaa 95 ina horsepower 310 tu ila nguvu zake so kitoto.


Sent from my SM-A207F using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe ndo maana mara nying anaongoza
Shida ya Sauli ni legroom ni ndogo sana..
Na Sauli si kuwa anatembea sana zaidi ya Wengine ila Yeye ana violate sheria sana. Mfano sehem ya kutembea 50kmp yeye ni 80kmh.
Pia wanaposimamishwa na traffic police hawasimami.
Sasa Wengine kwenye 50kmh hutembea hiyo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu mabasi mapya ya TATA MARCOPOLO BUS YALE YENYE BODY KAMA ZA U TONG .....YANAONEKANA KUWA IMARA KWA SASA .....KANDA YA ZIWA KUNA BATCO ANAYATUMIA KAMA JARIBIO ...HAYAONEKANI KUCHOKA YAPO IMARA SANA

Je haya yamekuja kutoa upinzani kwa scania bus , na kuna bus nzuri kabisa alikuwa nazo tajiri mmoja pale TANGA RAHA LEO ISUZU!! VIP HIZOView attachment 1387425

sent from toyota Allex
Unazungumzia ile ya kijivu?

Alafu sio ndefu kama uliyoweka hapo[emoji121]
Iko moja tu.

Mchina yule,

Mwenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilicho wafanya muwahi kufika mbeya sio mbio za sauli, Bali ni uwezo wa kuhimili (stable torque) wa engine ya 95
Katika Dunia ya diesel, common rail injection + variable geometry turbocharger, ni deadly combination, ie Gari za mfumo huo zinakuwa na nguvu kupitiliza

Hizo basi za Imani na alysaed haziwezi kukaa hata robo ya maisha ya hiyo scania, amini nakwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa natafuta mtu mwenye mawazo haya
 
na ndo maana mchina mwenye horse power 360 anaachwa vizuri tu na Scania yenye horse power 310

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea na mchina hp zake zimepimiwa at rpm kiasi gani..cheki michina utaona ni 2200rpm engine ya saizi hiyo hiyo kwanzia cc na number of cylinder kutoka scania inasoma hp zake kwenye 1900 au 1800rpm ..

Hata ukichek power graph or torque graph utaona scania ya hp 310 zimetofautiana kidogo sana na l360 20 cummins ..

Max torque ya l360 20 ni kama 1430 kama haijafika 1500nm

Comparison ya chinese bus na msweeden fanya kutoa 50hp kwenye gari ya kichina inayobaki ndo u kompee na sçania hiyo

Eg cummins 300hp minus 50hp ni 250hp so perfomance ya scania yenye hp hizo eg f250 ni kama cummins ya 300hp ..sio kutunga ..formula imekuja kulingana na kila mtu anavotengeneza na kupima hp zake ..kama huamin kaangalie power graph ya engine zote mbili
 
Narudia tena sauli kwa hiyo njia ni mchumba...angalia kuna bideo huko juu na cheki rekodi za kufika mapema sauli kafika mara chache ile ni scania ila haina maajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
ongeza saut
IMG-20200324-WA0070.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom