Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,452
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisbo bombastic unaijua ww?Kisbo aache kupeleka Bus zuri Kahama au Mwanza alete Mbeya, ulipewa stori za mtaani tu nilikuwa naziona zile Kisbo zilikuwa za kawaida tu. Hafu ujue kuwa Golden deer za Mbeya hazina madereva wazuri ungesema za Tunduma sawa, hizo za Mbeya hata Rungwe anazichapa
Hata Hai express kufika 12 jion ilikuwa kawaida tu, au kisbo ilivyokuwa inaenda mbeya ilikuwa napema tu 12 jion mko mbeya mjinUnaandika kwa nyodo kumbe hujui kitu
Gari za mbeya kufika saa 1 sio jambo jipya, Golden deer huwa zinafika saa 12:30 mara kibao tu
Al saedy sio scania, ana sunlong,yutong na golden dragon na hiyo Imani plus sio higer ni Asiastar
Siku nyingine fanya research kabla hujaandika utumbo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kauli mbiu ya Scania, when I grow up I want to be a scania.
Hivi hua naona mabasi ya Volvo,Actros na mengine huko ulaya kwenye tv ila mbona bongo siyaoni?
Kilicho wafanya muwahi kufika mbeya sio mbio za sauli, Bali ni uwezo wa kuhimili (stable torque) wa engine ya 95Kilicho wafanya muwahi kufika mbeya sio mbio za sauli, Bali ni uwezo wa kuhimili (stable torque) wa engine ya 95
Katika Dunia ya diesel, common rail injection + variable geometry turbocharger, ni deadly combination, ie Gari za mfumo huo zinakuwa na nguvu kupitiliza
Hizo basi za Imani na alysaed haziwezi kukaa hata robo ya maisha ya hiyo scania, amini nakwambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kwamba scania inadumu zaid ya basi za kichina lakin umetia chumvi
Gari za kichina zinadumu sana tu kama zikipewa service ya kueleweka, cummins kiasili sio technology ya mchina, ile ni mmarekan pure.
Hizi story za kuona scania ndo gari ngumu barabaran ni za kizaman, magari mengi yanayovuka boda kwenda lubumbashi na zimbabwe ni NISSAN DIESEL na MAN, hayo madude ni roho ya paka zaid ya scania
Sent using Jamii Forums mobile app
refer to saibaba zenye plate number A zile marcopolo zina miaka mingapi mara iende mbeya mara iende arusha mara kampala ila bado zipo zinapiga mzigo
Mimi sio mtaalamu wa magari ila kuna bus linaitwa kisbo safari, nimekuwa nikilisia sana humu Jf kuwa linatembea sana.
Mwezi uliopita nikiwa dodoma pale maeneo ya unapotaka kujengwa uwanjani barabarani, nikapishana na bus za KISBO SAFARI mbili.
Moja ilikuwa saa 7 na dakika 8, na ikawa inatembea taratibu. Nikasema hii bus inawezaje kwa sasa mambo ya tochi barabarani kufika Dodoma saa 7?
Ilipofika 7:30 ikapita KISBO ya pili, hapa nilichoka saana, nikasema hawa jamaa ni hatari.
Yaani hata zile gari za Dodoma kutoka Dar bado haziingii muda huo kwa saa 7 kamili kuwa Dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Scania ndio mume wa hao wote. Nilithibitisha kwa safari ya Mbeya hivi karibuni. Basi la Sauli ni Scania saa moja nimefika Mbeya kawapita wote, la pili Alysaid nayo Sacania na tatu nia Imani ambalo ni Higer. Narudi Bongo tena Sauli katufikisha saa moja na dakika 15, ikafuata Imani na baadae Alysaid. Hizo za kichina nasikia ziliingia saa nne.
Mbn haigher ...za dar lux zinasumbua sana njia ya mwanza to dar....yaani zinavyokohoa hata scania anapata tabu kuzipata sio kila kitu cha mchina ni kibovuMkuu Gari ya kichina hata uitunze vipi, ukinipa mishe mishe tu lazima isumbue, ukiona mtu amesurvive kwa muda mrefu na Gari ya kichina basi ujue anafanya kazi nyepesi nyepesi, kama vile abood
Sijui unazumgungumzia higer ipi ya upendo, nafa hamu zile za mwanzo zilipaki muda sana, kwanza katika magari mabovu ya mchina hiyo higer nadhan inashika namba Moja, nimeshuhudia nyingi tu zikikata chassis, imagine basi, la kubeba watu 55 linakata chassis!!!
Superfeo unazosema vipisi, hazinaga route ndefu ndo mana zimedumu kuna mtu alinunua hizo you tong ndogo wakati zinaingia, akawa anapeleka mwanza to mbeya, haikukaa hata miezi Sita ikafa
Tukija kwenye Mercedes benz, hizo Zina Jina tu, ingia . Truck net forum hata siku Moja uone kama benz inasemwa vizuri, kitu pekee benz inatamba ni fuel consumption, pamoja na drive train imara, lakini kwenye swala la kudumu inaachwa mbali sana na Swedish,
Sent from my BKK-AL10 using Tapatalk
Natamani nikuelezee Uzuri ila sidhan kam tutaelewana, angular force torque ipo kwenye kila engine , ila engine huwa zinatofautiana jinsi zinavoweza kuhimili hiyo force bila kutetereka ,Kilicho wafanya muwahi kufika mbeya sio mbio za sauli, Bali ni uwezo wa kuhimili (stable torque) wa engine ya 95
[emoji16][emoji16][emoji16] Kuna engine haina stable torque em tufafanulie ...kama sio mbio wangewahije?
By the way hiyo engine inatoa hp 310 tu
Higer za dar lux kwa mwanza hazina hata miaka miwili unalinganisha na scania za miaka mingapi?, mama hata hizo sauli na rungwe zinazoongelewa hapa ni model ya 2013Mbn haigher ...za dar lux zinasumbua sana njia ya mwanza to dar....yaani zinavyokohoa hata scania anapata tabu kuzipata sio kila kitu cha mchina ni kibovu
Service ndio inafanya magari haya kusumbua magari haya yanamfumo wa mechanic na electronic ...mafundi wengi wanayatengeneza kwa kubahatisha ndio maana hayadumu
sent from toyota Allex
Kwenye marine aende Temesa aone Catterpillar na Cummins vinavyoongoza kuwa na breakdown.Naamini uko deep, kwenye hii industry!! Hebu nitajie basi yoyote ya kichina iliyo kaa miaka 5 bila sumbua engine, nami nitakutajia scania (( T beq) ambayo ipo barabarani mpaka Leo ikiwa na zaidi ya miaka 10!
Cummins ni American products inayotengenezwa pia China under lisense, na ndio engine baadhi ya basi za kichina hutumia hasa you tong, hata hzio Cummins za mmarekani ambazo nyingi ziliingia kama genset, marine engines, kwa baadhi ya vivuko, hazikuwa na maisha kulinganisha na Swedish au Germany equivalent engines.
Ungekuwa sehemu kama migodini sehemu ambazo engines zinakuwa stressed to the limit ungeelewa haya ninayo kwambia, caterpillar products kwa mfano zinavuma kwa ubora na mambo kede kede, lakini huwa haifui dafu kwa liebherr (Germany) , kuanzia performance, fuel consuption, hadi service life
Sent from my BKK-AL10 using Tapatalk
nguvu ni nini kwani yani ushasema 310hp afu bado unasema ina nguvu si kitoto 🤔🤔 hiyo si ina torque 1550Nm ....max torque inakuwa produced within a specifed number of rpms past there or below there huwezi ipataNatamani nikuelezee Uzuri ila sidhan kam tutaelewana, angular force torque ipo kwenye kila engine , ila engine huwa zinatofautiana jinsi zinavoweza kuhimili hiyo force bila kutetereka ,
Mwisho wa siku torque ndo inadetermine ufanisi na sio power tena ndo mana unashangaa 95 ina horsepower 310 tu ila nguvu zake so kitoto.
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Duh! Hapa naishia tu kuelewa majina ya mabasi. Kuna watu mnatumia ma-technical terms magumu kuliko hata maisha.
Twende taratibu inaezekana hujui kutofautisha Kati ya horsepower na torquenguvu ni nini kwani yani ushasema 310hp afu bado unasema ina nguvu si kitoto [emoji848][emoji848] hiyo si ina torque 1550Nm ....max torque inakuwa produced within a specifed number of rpms past there or below there huwezi ipata
Twende taratibu inaezekana hujui kutofautisha Kati ya horsepower na torque
Unafahamu kuwa unapoipata hiyo 310 horsepower, torque huwa tayari inaanza kushuka au kupungua ?
Unafahamu unapoipata hiyo torque 1550Nm , bado unakuwa hujafikisha hiyo 310 horsepower ?
Kiufupi maximum torque na maximum power huwa hazikutani kwenye rpm graph, engine pekee duniani ambayo ilikuwa inajaribu ku maintain torque kuelekea kwenye power ilikuwa ni 1HD FTE kutoka watu wa Toyota ! super flat torque they call it
Sent from my SM-A207F using Tapatalk