Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

Mashine yenye Reduction hub fujo zake ni balaa hasa inapokutana na mazingira magumu kama milima huwa naikubali vby mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkuu kati ya Tag axle na Mid lift hasa kwa mazingira yetu haya ipi tractor nzuri hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkuu kati ya Tag axle na Mid lift hasa kwa mazingira yetu haya ipi tractor nzuri hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tag axle all the way!!! Kiufupi tag axle ni kama cheapest and lightest version ya 6x4,

Ila watch out ukinunua tag axled truck hasa hizi used , tag axle ni signature kuwa gari ilinunuliwa kwa ajili ya kufanya kazi ngumu , na inawezekana kweli ikawa imefanya sana kazi ngumu huko ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yani we bwege kweli kwaiyo Alsaedy ilkua scania na higer nayo scania


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakina Mwanyilu wanakata nyanya saiz nyumbani Sauli bila kuvunja sheria km 100+ kph hawez kua mbele ya Deer


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwan deer yeye havunji ??

mkeka wa mwez huu


KUTOKEA DAR TO NYANDA ZA JUU KUSINI MBEYA, KYELA, TUNDUMA NA SWANGA*

*MWEZI:* *MAY 2020*** [emoji91]
*LOCATION: NSALAGA/UYOLE*

May 01- Golden Deer 712 DPK [emoji1662]
May 02- *Sauli Luxury 685 DPN* [emoji2509]
May 03- Golden Deer 612 DMG[emoji1662]
May 04- *Sauli Luxury 685 DPN* [emoji2509]
May 05- *Sauli Luxury 300 DRH* [emoji2509]
May 06- Golden Deer 715 DPK[emoji1662]
May 07- *Sauli Luxury 300 DRH*[emoji2509]
May 08- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 09- *Sauli Luxury 300 DRH*[emoji2509]
May 10- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 11- *Sauli Luxury 300 DRH*[emoji2509]
May 12- Majinja Special 422 BUL
May 13- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 14- Golden Deer 711 DPK[emoji1662]
May 15- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 16- Golden Deer 712 DPK[emoji1662]
May 17- *Sauli Luxury 685 DPN*[emoji2509]
May 18-
May 19-
May 20-
May 21-
May 22-
May 23-
May 24-
May 25-
May 26-
May 27-
May 28-
May 29-
May 30-
May 31-


Summary ya May*
*1.685 DPN - 7 days* [emoji966]

*2.300 DRH - 4 days*

3.712 DPK -2 days

4.612 DMG - 1 day

5.715 DPK - 1 day

6.422 BUL - 1 day

7.711 DPK - 1 day

[emoji1541][emoji1541][emoji1541] [emoji1541][emoji1541][emoji1541]

*1. SAULI 11 days*[emoji146]

2. GOLDEN DEER 5 days

3.MAJINJAH SPECIAL 1 day





*Pray-Trust-Wait*(PTW)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan deer yeye havunji ??

mkeka wa mwez huu..
Sauli na Golden Deer hawa wanakimbizana hawapeani nafasi ya kupumua.

Juzi nimewakuta wamepaki pembeni kusubiri muda uende kabla ya Iringa Check Point walikuwa wametoka Dar.

Hizi ni kampuni bora kwa kutunza muda.
 

Please, check your pm.

Ahsante sana.
 
Tumetoka Ubungo saa 12 asubui Sauli nikaiona Shekilango ktk ule mzunguko wa sheli ya Total....nikaja iona tena Mbezi foleni asubui....nafika Morogoro nailizia wauza korosho wananiambia itakuwa inaitafuta iringa hapo ni kama saa tano tano hivi aiseeee kama ni kweli ile gari achana nayo...............
Nikasafiri tena majuzi kumbe kuna msafara wa Magu upo nyuma yetu anaenda dodoma....trafiki wakaruhusu gari zote zitembeeeeee zinavyotaka kozi tulikuwa ktk kipande amabcho hakina juction wala sehemu ya kupaki gari....aiseeeeee gari ziliachiwa speeed unasikia alarm inagonga tuuuuuu.............tulipofika sehemu tukakuta magari yote kumbe yamepaki ili magu apite tukaanza kulitafuta Sauli ahahahahahaaaaa yaani Sauli alishapita zamaniiiiiii......wenyewe wanaita Ndege ya kwanza ya ardhini kwenda Mbeya........tiketi zake za kesho zinaisha jana.....haina pale ubungo haina lotto gari inajiuza hahahaaaaaaa
 
Hahahaha, hizo zingine sizijui na siandiki uongo naindika muda niliofika na tulizoongozana nazo. Zaidi ya hizo tatu zijui zingine ilikuwa mara ya kwanza kufika Mbeya
nilitaka kumpandisha mtu Sauli ela ikapungua akapanda New force.........ameingia mbeya saaa 2 wakati Sauli imeshaingia saa moja....inawezekan baadhi ya siku hiyo gari anayosema ilnawai ila kwa Sauli huo ndo muda wake....
 
Upo sahihi Mkuu na bei pia za Nissan Diesel sio ndogo ndio maana watu wanakimbilia Scania yaani ukikuta Scania ya mwaka mmoja na Nissan Diesel hiyo diesel inakua bei juu kidogo huko kwa wauzaji hata Kama hujui kitu utaona hapo kuna tofauti..
Nissan Diesel safari ipo na ya uhakika zaidi ukipata kichwa chake wewe ni kuzunguka tuu na inahimili mazingira magumu ya safari...
 
Faza Huyo sauli akapambane na Jeshi la Mtu Mmoja ivi KANGI LUGOLA - COVID 19 Dar to Kahama atafurahia hiyo mashine Zhongtong Bus Chuma la Masaa KISBO SAFARI
 
Mjinga mama yako, determining factors za mauzo ni nn?

Ukiona kitu kinauzwa sana jua ni bora pumbaf

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinauzwa sana kwa sababu ni bei ndogo,na watu hawamudu bei ya hivyo vingine kwa sababu ni ghali.

Ubora duni=Bei ndogo=wanunuzi wengi wa viwango vya kati na chini

Ubora wa juu= Bei ghali=wanunuzi wachache wa viwango vya juu.
 
Kuna yale ma-INTERNATIONAL sijui mmarekani yule exhaust mbili huku na huku zinatema juu angani ni noma balaa. Dude lina tani 70 na linatembea kama teksi! Ule ni zaidi ya Scania na Volvo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…