Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,452
Mkuu sababu za engine kusumbua kwa hii nchi yetu sio ubovu wa chombo, most of the times ni uzembe wa kibinadamNaamini uko deep, kwenye hii industry!! Hebu nitajie basi yoyote ya kichina iliyo kaa miaka 5 bila sumbua engine, nami nitakutajia scania (( T beq) ambayo ipo barabarani mpaka Leo ikiwa na zaidi ya miaka 10!
Cummins ni American products inayotengenezwa pia China under lisense, na ndio engine baadhi ya basi za kichina hutumia hasa you tong, hata hzio Cummins za mmarekani ambazo nyingi ziliingia kama genset, marine engines, kwa baadhi ya vivuko, hazikuwa na maisha kulinganisha na equivalent Swedish au Germany equivalent engines
Ungekuwa sehemu kama migodini sehemu ambazo engines zinakuwa stressed to the limit ungeelewa haya ninayo kwambia, caterpillar products kwa mfano zinavuma kwa ubora na mambo kede kede, huwa haifui dafu kwa liebherr (Germany) , kuanzia performance, fuel consuption, hadi service life
Sent from my BKK-AL10 using Tapatalk
Wote tunajua uimara wa engine za benz lakin kampun ya Sauli washaua engine ya lile benz DPC, utasema benz mbovu? Gari inaenda mwezi mzima dar mbeya bila kucheckiwa
Mfano wa gari za kichina zilizodum zaid ya miaka 5 ni higer za upendo (Iringa-dar) yutong f10 za super feo (vipisi vile) New force za Moro-dar.......
Sent using Jamii Forums mobile app