Fahamu kuhusu sperm allergy (mzio wa mbegu za kiume)

Fahamu kuhusu sperm allergy (mzio wa mbegu za kiume)

Dede 01

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2024
Posts
1,182
Reaction score
2,248
Habari wanajamvi!

Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana.

Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi niliyojifunza kuhusu ugonjwa huu.

Mzio wa mbegu za kiume ni reaction anayopata mtu baada ya kugusa protein zilizopo kwenye mbegu za kiume.

Dalili zake ni uwekundu, kuvimba, muwasho na kuungua kwa ngozi iliyopo karibu na uke. Dalili hizi hujitokeza dakika 10-30 baada ya tendo. Ila mtu mwenye mzio wa mbegu za kiume endapo hizo mbegu zitamwakungia mfano mkononi basi sehemu aliyoguswa na hizo mbegu inaweza kuexperience muwasho.

Kuhusu tiba inasemekana kuwa ipo ila haifanyi kazi kwa kila mwanamke kuna wengine inawagomea.

Na pia kilichonichekesha ni kuwa mwanamke anaweza akawa na mzio wa mbegu za mwanaume A ila mbegu za mwanaume B zinaweza zisimdhuru.(FACT)

Kwa maelezo zaidi bofya hapa

Yangu ni hayo tu. Kazi imebaki kwenu.
 
Hii kitu shemeji yenu alikuwa nayo, few minutes after blowjob ulimi ulikuwa lazima umuwashe..... Ila baada ya mda hilo tatizo liliondoka lenyewe na akawa anafurahia kucheza nazo mdomoni

Nafikiri tiba yake ni mwanamke kuzoea
 
Hii kitu shemeji yenu alikuwa nayo, few minutes after blowjob ulimi ulikuwa lazima umuwashe..... Ila baada ya mda hilo tatizo liliondoka lenyewe na akawa anafurahia kucheza nazo mdomoni

Nafikiri tiba yake ni mwanamke kuzoea
Allergy ndivyo ilivyo kwa baadhi ya watu inapotea ila kwa baadhi ya watu inaweza kuwa serious hadi kupelekea kulazwa.
 
Back
Top Bottom