Fahamu kuhusu Talaka na taratibu zake Kisheria

Dini kaleta Mungu ila talaka aiunde mwanadamu hpo kuna walakini

UISLAMU umeturahisishia maisha sana ila watu wanaona sheria za Mungu zinawabana wakaleta zao ambazo kila siku zinaleta maugomvi katika Jamii

Haiwezekani mimi Mwanaume nimeoa na mahari nimetoa ety ikitokea tumeachana tugawane pasu kwa pasu huu ni Ujinga
Yni mimi nihangaike kutafuta huko hlf kirahisi tu aje mtu ety tugawane pasu kwa pasu aloo

Hakuna dini ilozungumzia ubora wa talaka na Mirathi kama Uislamu anaebisha aje na Facts

Am so proud to be Muslim
 
Mr George Francis habari ya uzima
Naomba kujua mfano mume na mke wanaishi mikoa tofaut kwasabab za kikaz, wamezaa mtoto mmoja... Mume alimpa pesa za kununua kiwanja na gari mke wake, lakini pesa hizo hazina ushahidi wa maandishi in case mume akiulizwa athibitishe. Ktk kudai talaka inaruhusiwa kudai na hizo mali zigawanywe?
 
Nitufitilia huu uzi kwa ukaribu sana
 
Itakuwaje endapo kanisa likakataa kujaza fomu iliyotoka mahakamani kwa kisingizio cha kutaka wenza warudiane? Ogopa sana kufunga ndoa za kikristo hasa wakatoliki na walutheri.Haya madhehebu ni wakatili sana na wakolini hakuna mfano
Bado unaweza kwenda kwenye baraza ukieleza hiyo sababu ya wao kukataa
 
Kwenye Biblia pia kuna maelekezo ya msingi wa Mweza kutoa talaka

Matayo 19:6
"Ninawaambia kwamba mtu yeyote anayemtaliki mke wake isipokuwa kwa sababu ya uasherati,* na kumwoa mwingine, anafanya uzinzi.”
 
It's almost two years.
Nimefuatilia andiko lako,limeniongoza vyema hadi nimefanikisha.
Somo zuri sana la kisheria,nilitetemeka kwa mara ya kwanza kuingia mahakamani,baadaye nenda rudi hadi nikapazoea.Nipo kwenye hatua ya kugawana mali.
Ubarikiwe sana Wakili Msomi.
 
Nimefuatilia andiko lako,limeniongoza vyema hadi nimefanikisha.
Somo zuri sana la kisheria,nilitetemeka kwa mara ya kwanza kuingia mahakamani,baadaye nenda rudi hadi nikapazoea.Nipo kwenye hatua ya kugawana mali.
Ubarikiwe sana Wakili Msomi.
Nashukuru sana kwa kufanikiwa kwako. Mungu azidi kukujahalia mafanikio tele katika kila hatua upigayo. AHSANTE KWA KUNIPA MAUA YANGU.
Nimefuatilia andiko lako,limeniongoza vyema hadi nimefanikisha.
Somo zuri sana la kisheria,nilitetemeka kwa mara ya kwanza kuingia mahakamani,baadaye nenda rudi hadi nikapazoea.Nipo kwenye hatua ya kugawana mali.
Ubarikiwe sana Wakili Msomi.
 
Je baada ya talaka kutolewa, ni sharti mahari kurudishwa au ndo inakua imetoka?
Mfano mwanamke aliyeachwa kwa talaka akitolewa mahari upya.

Na iwe wanandoa hawakuzaa na waliishi pamoja miezi 6 na kutengana kisha talaka ikatolewa.
Mahari siyo takwa la kisheria.
 
Hapo itatumika dhana ya ndoa ili huyo shemeji yetu asiondoke patupu.
 
Sheria mbaya sana, imeweka ulazima kwa watu waliochokana kuendelea kuishi pamoja, ingekuwa kama ya Kenya, safi sana, mkishindwana, mnamaliza faster
 
Huu uzi ni bonge la uzi.
Yan nimeona loop holes kibao humu za kum bwaga wife mahakamani kwenye shauri lake la kudai taraka.

Hapa nimeona vitu kama Collusion na Condonation kwa mfano ambazo ningeweza kutumia kama msingi wa kukwamisha taraka

Sema kwakua mapenz hayalazimishwi, nitampa, ila huu uzi umenipa nondo kibao kiasi kwamba naweza simama mahakaman mwenyewe
 
Elimu imfikie hivi ipo siku watatoa Talaka kwenye mchezo wao..

Umeteuliwa kuongoza Wizara Mama ya Shimo lisilojaa - Kijana aliyechahuliwa kajenga nyumba nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…