Fahamu kuhusu Uboho ‘Bone Marrow'

Fahamu kuhusu Uboho ‘Bone Marrow'

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Uboho au ‘Bone Marrow’ ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini.

Kuna magonjwa ambayo yanaweza kusababisha uzalishaji wa uboho ambayo ni Kifua Kikuu na ukosefu wa virutubisho mwilini kama Vitamin B12 na 6, upungufu wa madini ya chuma ambayo yanasaidi katika uzalishaji wa chembechembe nyekundu za damu na mazingira hatarishi kama ya kuwa kwenye mionzi mikali.

Uboho husaidia kwenye uzalishaji wa chembechembe nyekundu za damu, chembechembe nyeupe na chembe sahani. Upungufu wa uzalishaji wa uboho ni tatizo kubwa.

Hadi sasa matibabu ya bone marrow yanafanyika nchini India kwa gharama isiyopungua $40,000 sawa na Tsh milioni 93.
 
Mwili wa binadamu una thamani ya mamilioni ya shilingi. Wangeruhusu biashara ya kuuza viungo vya binadamu tungebaki wachache
Tsh. 93m [emoji44][emoji44][emoji44]

mazishi 300k inayobaki tunafanyia mambo mengine
 
Unaona wenzio hao.washauza zao
Sema akiamungu.!
Screenshot_20201001-150337.jpg
 
Back
Top Bottom