Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

Nahitaji business plan ina cost tshs ngapi?

Habari mdau.

Kwa "percentage wisely" tunatoza 0.5 ya value ya mradi (hapa ni kwa miradi ambayo thamani yake ni zaidi ya Mil 100) , kwa "flat rate" tunatoza 200,000 mpaka 300,000 (hapa ni kwa miradi ambayo thamani yake ni pungufu ya mil 100)
"But.....there is a room for bargaining"
Kwa maelezo zaidi tutafute kwa namba zetu hapo juu.

Karibu sana mdau
 
Scope sio description ya objective bali ni high level documentation ya project objectives, deliverables, tasks, budget and time (schedule). Project scope ndio mama wa project planning and integration.
Hivi kibongo bongo chuo gani kinatoa kozi za project kwa ngazi ya mastaz/post graduate ambacho kinaanda mtu vizuri?
 
Sio mbaya kama pia mtatusaiddia vyuo vinavotoa hiyo kozi na utofauti wake kama upo( mfano labda mzumbe.wanatoa.na muhmbili wanatoa ila tofauti yake ni ........)
 
Mi huwa nafurahi ninapoona matangazo kama haya.
Nimefanya kwenye miradi inayofadhiliwa na CIDA Canada. EU ( European Development Fund, World Bank, DFID, USAID na wengine wengi. Wafadhili wote wana taratibu na template zao. Hizo standard zimeshapitwa na wakati. Mfano: EU ana grants, programme estimates, calls for proposal na nyingine kibao.
Someni requirements/procedures za donors mbalimbali muone utofauti wa shule na uhalisia.
 
Nimekupata mkuu. Vipi lakini soko.la hiyo kozi haswa kwenye mashirika uloyataja?
 
Habari mdau,
Ahsante kwa swali lako.
Kuna njia nyingi za kufanya kile kinachoitwa "knowledge and skills utilization" inaweza ikawa utilized kwa maslahi binafsi au kwa maslahi ya jamii.
Sisi tumeamua ku-utilize ujuzi na taaluma yetu hii kwa jamii, na ndio maana tunatoa huduma ya kuwaandikia michanganuo wale wenye kuhitaji. Japo hii haituzuii nasi kuandaa michanganuo ya maombi ya ruzuku kwa ajili yetu pindi tunapokidhi vigezo vinavyowekwa na wafadhili (Donars)

Karibu sana.
Safi mkuu umetoa jibu zuri kabisa na kuonesha elimu na busara zako pia ahsante mkuu katika hii thread nimejinza kitu.
 
Ipo degree ya community development in participatory project management ya Tengeru ndio mpango mzima. Unakuwa mtu wa DFP
 
Back
Top Bottom