Platinum Consultancy
Member
- Jul 3, 2016
- 19
- 13
- Thread starter
-
- #21
Nahitaji business plan ina cost tshs ngapi?
Hivi kibongo bongo chuo gani kinatoa kozi za project kwa ngazi ya mastaz/post graduate ambacho kinaanda mtu vizuri?Scope sio description ya objective bali ni high level documentation ya project objectives, deliverables, tasks, budget and time (schedule). Project scope ndio mama wa project planning and integration.
Nimekupata mkuu. Vipi lakini soko.la hiyo kozi haswa kwenye mashirika uloyataja?Mi huwa nafurahi ninapoona matangazo kama haya.
Nimefanya kwenye miradi inayofadhiliwa na CIDA Canada. EU ( European Development Fund, World Bank, DFID, USAID na wengine wengi. Wafadhili wote wana taratibu na template zao. Hizo standard zimeshapitwa na wakati. Mfano: EU ana grants, programme estimates, calls for proposal na nyingine kibao.
Someni requirements/procedures za donors mbalimbali muone utofauti wa shule na uhalisia.
Safi mkuu umetoa jibu zuri kabisa na kuonesha elimu na busara zako pia ahsante mkuu katika hii thread nimejinza kitu.Habari mdau,
Ahsante kwa swali lako.
Kuna njia nyingi za kufanya kile kinachoitwa "knowledge and skills utilization" inaweza ikawa utilized kwa maslahi binafsi au kwa maslahi ya jamii.
Sisi tumeamua ku-utilize ujuzi na taaluma yetu hii kwa jamii, na ndio maana tunatoa huduma ya kuwaandikia michanganuo wale wenye kuhitaji. Japo hii haituzuii nasi kuandaa michanganuo ya maombi ya ruzuku kwa ajili yetu pindi tunapokidhi vigezo vinavyowekwa na wafadhili (Donars)
Karibu sana.
Nimekupata,ahsante mkuu.Ipo degree ya community development in participatory project management ya Tengeru ndio mpango mzima. Unakuwa mtu wa DFP