Fahamu kuhusu VPN

Hivi router yenye vpn access ni TZS ngapi? Iwe sophos au cybertrurk
 
Nisaidie namna, hatua kwa hatua ya kui download kwenye desk top computer yangu. na Tecno simu
1...
2....
3....

tafadhali sana
 

Kuna bidhaa nilikuwa najaribu kuagiza abroad kupitia website fulani lkn haikuwezekana kisa ni hicho hicho kigezo kwamba bidhaa hiyo haiwezi kuelekezwa location niliyo , vipi Vpn inaweza ku play apa nikapata huo mzigo, maana inaonesha vpn kwa upande wa location inasaidia kudanganya, je kudanganya huko itanisaidia nipate mzigo maana nahisi niki triger location this means cargo itaelekea niliko alocate aiming kupata mzigo,

Je vpn naweza kuitumia katika kuagiza cargo kuja eneo ambalo supplier hawezi deliver na ukanifikia?
 
Kwa watumiaji wa android, kwakuwa Play store imeshaingiliwa, huwezi download chochote hata hiyo VPN. Ila bado hujashindwa.

Fungua hii link nakupa. Download kisha Install. Ukishamaliza Fungua na bonyeza Connect.

Hakikisha kwenye simu yako juu kuna alama ya Ufunguo. Ukiuona ufunguo jua uneshakuwa Vpn family. Mia

 
Mimi nimesha install lakini location ndo inafail
 
Thank you imekubali!!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Nimedowload muda mfupi uliopita VPN kupitia play store. Niko nchi ya Abroad🤣🤣🤣😎😎😎
 
Nashauri watu kutumia premium vpn na best ni express vpn inafanya kazi hadi netflix streaming na kidogo nord vpn nayo iko poa,kihalisia free vpn utapata speed pia ndogo kutokana na server za free na siamini kuwa information zako zitakuwa safe...so lipia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…