DAVIES KILANGI
Senior Member
- Nov 25, 2018
- 174
- 118
Ndo inaandika hiviSijaelewa. Kuna sehemu nimesema Location? Fuata maelekezo. Unaiona kwenye simu yako? Inakuandikia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo inaandika hiviSijaelewa. Kuna sehemu nimesema Location? Fuata maelekezo. Unaiona kwenye simu yako? Inakuandikia nini?
Mtandao wako upo chini sana. Jaribu kuzima simu na kuwasha then connect tena.Ndo inaandika hiviView attachment 1613972
Ujinga gani sijui ulinifanya niache kutumka ila kiukweli VPN ni best maana mimj nilikuwa natumia Internet sema kwa kulipia Mwezi tsh 5000 ipo vizuri sana ila Hizo za Burw ndo chqngamoto.Je,nikitumia VPN kuna bando la ziada huwa linaliwa?
Pamoja mkuuMtandao wako upo chini sana. Jaribu kuzima simu na kuwasha then connect tena.
Ikigoma omba msaada watu wengine wakupe VPN zao.
Pole sana.
Asante mkuu
najaribu tena Mkuu lkn hawa watu waliominya Internet sio wazuriMtandao wako upo chini sana. Jaribu kuzima simu na kuwasha then connect tena.
Ikigoma omba msaada watu wengine wakupe VPN zao.
Pole sana.
tumia Facebook LiteMbona fb inafailed kulogin?
Kwenye namba tatu apo je, niko bongo kwa vpn na nimepata punguzo nanina kiu niipatw bidhaa nifanye kitu gani ili niweze kuipataVPN NI NINI?
VPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambayo inakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na securely.
SAWA, SASA HII VPN TUNNEL INAFANYAJE KAZI?
VPN tunneling inaunda point-to-point connection baina ya vifaa viwili, mara nyingi inakuwa ni VPN server na kifaa unachotumia wewe. Tunneling ina-encapsulate data zako kwa mfumo wa standard TCP/IP packets na unazisafirisha kwenye internet kwa usalama kabisa. Kwasababu data ziko encrypted, wadukuzi (hackers), serikali (governments), hata ISPs (Internet service providers) hawawezi kuona au kuzipata taarifa zako kipindi chote unachokuwa umeunganishwa kwenye VPN server.
OH OK. LAKINI KWANI VPN INA UMUHIMU GANI KWANGU?
1. Unataka kuwa 'private'?
Kama hutumii VPN, basi upo uchi. Yule anaekuwezesha kupata huduma ya internet (ISP) anaweza kuona internet traffic yako na huenda akawa ana kumbukumbu zako za vitu vyote unavyofanya mtandaoni.
2. Unachukia 'censorship'?
Ni mara ngapi umeingia kwenye website fulani au huduma fulani mtandaoni halafu ikakwambia - "This service is not available in your country". Hiyo ndo censorship sasa, na huwezi kuiondoa bila VPN.
3. Okoa pesa wewe!
Kuna baadhi ya online stores huwa zinatoza bei ya bidhaa kutokana na 'location'uliyopo. Yaani, kama upo Canada unapata punguzo la hadi 50% wakati kama upo Africa unauziwa kwa bei halisi na shipping costs juu! Ubaguzi wa namna hii huwezi kuushinda bila VPN.
4. Encrypt kila kitu.
Hackers sio watu wazuri, huwezi jua ni saa ngapi wanakuwinda hasa hasa kama wewe ni mzee wa kupenda Kitonga, a.k.a Public Wi-Fi. Wadukuzi wanaweza wakapita na taarifa zako nyeti. Sasa kabla hawajakushika pabaya, tumia kinga - VPN.
ANHAA SAWA. NA JE, VPN INA UTOFAUTI GANI NA PROXY?
Ukiwa connected kwenye PROXY SERVER, inakuwa ni kiunganishi kati ya kifaa unachotumia na internet. Traffic yako yote inapitishwa kwenye proxy server, na hivyo itaonekana kama imeanzia kwenye IP address ya proxy server. Proxy server inakuficha/ inaficha IP address yako na kukuruhusu ku-access maudhui yaliyozuiwa. Hata hivyo, proxy server hai-encrypt traffic yako, kwahiyo taarifa unazotuma na kupokea zinaweza kudakwa/ kuingiliwa na mtu yeyote hususani wadukuzi na ídentity thieves.
VPN inakupa kila ambacho unapata kwenye proxy servre lakini pia inalinda na kufanya encryption ya data kati ya kifaa unachotumia na internet, hivyo inakupa ujasiri wa kutumia mtandao pasipo hofu ya taarifa zako kuvuja.
View attachment 1516533
SAFI. NA VIPI KUHUSU FIREWALL, INATOFAUTIANAJE NA VPN?
Firewall ni kizuizi kinachochambua 'data packets' kutoka kwenye mtandao ambazo zinajaribu ku-connect na computer yako na kinaruhusu data packets zile ambazo zimekidhi vigezo ambavyo vimewekwa tu. Kutumia firewall ni njia nzuri ya kulinda kifaa unachotumia dhidi ya hatari mbalimbali kama vile virus attacks na worms. Hata hivyo, firewall inakulinda na traffic inayoingia kwenye kifaa unachotumia tu (Incoming traffic). Traffic inayotoka hailindwi na firewall, hapo ndipo unapohitaji VPN. Ukitumia vyote viwili inakuwa mwake mwake babaake.
View attachment 1516543
AISEE! MALIZIA KWA KUTUELEZEA TOFAUTI YA VPN APP, VPN PLUGIN NA VPN BROWSER
VPN browsers au browser plugins zinalinda WEB BROWSER TRAFFIC tu!. Network traffic nyingine yote kutoka kwenye kifaa unachotumia inabaki uchi, wajuba wanaweza kuichungulia. VPN app yenyewe ndo inaweza ku-encrypt na kulinda 'network traffic' kutoka kwenye kifaa chako. Kwahiyo ukitaka uwe salama, usitumie Browser plugin peke yake, tumia app.
View attachment 1516558
Bila shaka sasa unafahamu kuhusu VPN. Una swali lolote, wewe nitandike nalo hapa chini - na mimi ntakujibu mapema, na kwa kina kadiri ninavyoweza.
Mimi.. ninashukuru.
#virus
Swali l pili kile kipengele cha vpn kwenye simu yetu hakina uwezo wa kutumika mpka tutumie vpn za kudownload akati kwa simu iko ki neno kipo? Kama ni ndio je tunafuata hatua zipi kuseti vpn apo , kama sio je nn kazi ya hio feature kwa vpnBinafsi natumia HOXX VPN. Kuipata unaingia tu Play Store - unatafuta hilo jina utaipata.
Lakini zipo zingine ambazo ni nzuri na ni free. *Haziwezi kuwa best kwasababu ni free, sadly. Gharama ya kuendesha VPN ni kubwa, so kama ni best halafu ni free basi utakutana na utitiri wa ads (matangazo) ambayo yatakuwa yanaku-disturb kila sekunde. Here's my short list though;
*Na si lazima kwa mpangilio huu.
1. Hide.me
2. Speedify
3. Windscribe VPN
4. TunnelBear VPN
5. ProtonVPN
6. Hotspot Shield VPN
Safi sana mkuu.Kwa watumiaji wa android, kwakuwa Play store imeshaingiliwa, huwezi download chochote hata hiyo VPN. Ila bado hujashindwa.
Fungua hii link nakupa. Download kisha Install. Ukishamaliza Fungua na bonyeza Connect.
Hakikisha kwenye simu yako juu kuna alama ya Ufunguo. Ukiuona ufunguo jua uneshakuwa Vpn family. Mia
![]()
UFO VPN Basic APK for Android Download
UFO VPN Basic 3.5.0 APK download for Android. Super private & unlimited fast VPN for Android. Go online fast and safely.m.apkpure.com
Nakazia swali.. wataalam watupatie majibu. Coz nahisi inakula bando sana.Safi sana wadau, je vip kuusu bando kutumika inapunguza au inaongeza matumizi.