Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

Naifuatilia hii mada.
Karibu kwenye uwanja wa majadiliano
Nataka kujua garama ya kituo cha kuuza mafuta ya taa kiwe na pampu 8
Sawa ndugu
kwanza kabsa kabla hujapata hasala unapaswa kujua mafta ya taa Kwa Sasa hayana soko Tena.
Kwa hiyo usipoteze Fedha zako kwenye mafta ya Taa.
Kama unataka kujenga Petrol station Dili na Diesel na Petrol pekee hapo tutapiga pesa .
Na Kwa udadis mzur pita vituo vya mafuta 3 tu uliza kama wanamafta ya taa Kisha utaona jibu langu lipo je.
 
Mwana JF Bado nipo najaribu kukupa ushauri Kwa wenzetu haswa wale wenye mitaji na hawajui wafanye nini na pia wale wenye makampun ya usafrishaji ni vyema ukafanya maamuzi ya kujenga kituo Cha mafuta (shell)
Ili kuepuka gharama za uendeshaji katika biashara Yako Kwa upande wa mafuta upande huu ndio una changamoto sana Kwa Dereva na boss husika katika uendeshaji wa magar yake.
Na wewe ambae una pesa na ipo Bank imekaa situka njoo tukujengee kituo safi na Cha gharama nafuu pesa Yako iingie kwenye mchakato wa uzalishaji na uwekezaji wenye tija.
Hii hapa chini ni hatua ya 3 kakta ujenzi wa Kituo. Karibu sana lakin usiogope kuomba ushauli na kujua japo kidogo katika ujenzi huu
 

Attachments

  • IMG_20240711_164801_442.jpg
    6.7 MB · Views: 31
  • IMG_20240711_164801_442.jpg
    6.7 MB · Views: 26
Nina mpango wa kujenga kituo cha mafuta hapo baadae. Ila nikipiga hesabu nikaona kila lita moja ya mafuta naweza kupata faida ya 100 . Je ni kweli mkuu sehemu yenye mzunguko mzuri naweza kurudisha gharama za ujenxi ndani ya mwaka mmoja tuu. Nifafanulie Zaidi
 
KITABU CHA MWONGOZO WA UJENZI NA UENDESHAJI WA VITUO VYA MAFUTA KWA GHARAMA NAFUU: Mwongozo wa Ujenzi na Uendeshaji wa Vituo vya Mafuta kwa Gharama Nafuu

Hiki ni Kitabu cha Mwongozo wa Ujenzi na Uendeshaji wa Vituo vya Mafuta kwa Gharama Nafuu. Kitabu hiki kinatoa mwongozo kwa wamiliki na wajasiriamali wanaotaka kujenga na kuendesha vituo vya mafuta kwa njia ya gharama nafuu.

Kudownload bonyeza hapa:

Kimeandikwa na Bright and Genius Editors, na kinalenga kuleta mwanga kwa wanaotaka kuingia kwenye biashara ya vituo vya mafuta kwa kutumia mbinu bora na za gharama nafuu.

Kujipatia Kitabu hiki watafute Bright and Genius Editors kwa email: bandg.editors@gmail.com au whatsapp: 0612607426
 
Yes unarudisha mzunguko wa hii Biashara ni mkubwa hasa ukiwa katika location nzuri.
 
Asante sana mkuu
 
Napataje hiki mkuu?
Download hapo:
 
Hauja tupa jumla ya pesa ya ujenzi na vibali vyake kama una eneo tayari
Download hiki kitabu:
 
Halafu lory litoke huko linefeli breki linakuja kuchoma ndani ya kituo😖😖😖
 
Jaribu kudownload hiki kitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…