Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

Naifuatilia hii mada.
Karibu kwenye uwanja wa majadiliano
Nataka kujua garama ya kituo cha kuuza mafuta ya taa kiwe na pampu 8
Sawa ndugu
kwanza kabsa kabla hujapata hasala unapaswa kujua mafta ya taa Kwa Sasa hayana soko Tena.
Kwa hiyo usipoteze Fedha zako kwenye mafta ya Taa.
Kama unataka kujenga Petrol station Dili na Diesel na Petrol pekee hapo tutapiga pesa .
Na Kwa udadis mzur pita vituo vya mafuta 3 tu uliza kama wanamafta ya taa Kisha utaona jibu langu lipo je.
 
Mwana JF Bado nipo najaribu kukupa ushauri Kwa wenzetu haswa wale wenye mitaji na hawajui wafanye nini na pia wale wenye makampun ya usafrishaji ni vyema ukafanya maamuzi ya kujenga kituo Cha mafuta (shell)
Ili kuepuka gharama za uendeshaji katika biashara Yako Kwa upande wa mafuta upande huu ndio una changamoto sana Kwa Dereva na boss husika katika uendeshaji wa magar yake.
Na wewe ambae una pesa na ipo Bank imekaa situka njoo tukujengee kituo safi na Cha gharama nafuu pesa Yako iingie kwenye mchakato wa uzalishaji na uwekezaji wenye tija.
Hii hapa chini ni hatua ya 3 kakta ujenzi wa Kituo. Karibu sana lakin usiogope kuomba ushauli na kujua japo kidogo katika ujenzi huu
 
Attachments

  • IMG_20240711_164801_442.jpg
    IMG_20240711_164801_442.jpg
    6.7 MB · Views: 31
  • IMG_20240711_164801_442.jpg
    IMG_20240711_164801_442.jpg
    6.7 MB · Views: 26
Ndugu kwanza kabisa unatakiwa kufahamu Kwamba saivi fulusa ipo kubwa katika biashara ya mafuta ni biashara ambayo kula hasala ni wewe mwenyewe kushindwa kuwa MAKINI katika uendeshaji wa Kituo chako.
Lakin Kwa uhakika mafuta yanalipa sana Kwa sasa.

Ukiwa na shell Moja ndani ya miez 12 uhakika wa kujenga nyingne unakuwa nao mkubwa sana. Usikae na PESA BANK bila kuwekeza Ili iongezeke mara dufu ingia katika uwekezaji wa kuuza mafta utanishukulu siku moja.

View attachment 3027044
Nina mpango wa kujenga kituo cha mafuta hapo baadae. Ila nikipiga hesabu nikaona kila lita moja ya mafuta naweza kupata faida ya 100 . Je ni kweli mkuu sehemu yenye mzunguko mzuri naweza kurudisha gharama za ujenxi ndani ya mwaka mmoja tuu. Nifafanulie Zaidi
 
KITABU CHA MWONGOZO WA UJENZI NA UENDESHAJI WA VITUO VYA MAFUTA KWA GHARAMA NAFUU: Mwongozo wa Ujenzi na Uendeshaji wa Vituo vya Mafuta kwa Gharama Nafuu

Hiki ni Kitabu cha Mwongozo wa Ujenzi na Uendeshaji wa Vituo vya Mafuta kwa Gharama Nafuu. Kitabu hiki kinatoa mwongozo kwa wamiliki na wajasiriamali wanaotaka kujenga na kuendesha vituo vya mafuta kwa njia ya gharama nafuu.
mmexport1730439845473.jpg

Kudownload bonyeza hapa:

Kimeandikwa na Bright and Genius Editors, na kinalenga kuleta mwanga kwa wanaotaka kuingia kwenye biashara ya vituo vya mafuta kwa kutumia mbinu bora na za gharama nafuu.

Kujipatia Kitabu hiki watafute Bright and Genius Editors kwa email: bandg.editors@gmail.com au whatsapp: 0612607426
 
Nina mpango wa kujenga kituo cha mafuta hapo baadae. Ila nikipiga hesabu nikaona kila lita moja ya mafuta naweza kupata faida ya 100 . Je ni kweli mkuu sehemu yenye mzunguko mzuri naweza kurudisha gharama za ujenxi ndani ya mwaka mmoja tuu. Nifafanulie Zaidi
Yes unarudisha mzunguko wa hii Biashara ni mkubwa hasa ukiwa katika location nzuri.
 
Mwana JF Bado nipo najaribu kukupa ushauri Kwa wenzetu haswa wale wenye mitaji na hawajui wafanye nini na pia wale wenye makampun ya usafrishaji ni vyema ukafanya maamuzi ya kujenga kituo Cha mafuta (shell)
Ili kuepuka gharama za uendeshaji katika biashara Yako Kwa upande wa mafuta upande huu ndio una changamoto sana Kwa Dereva na boss husika katika uendeshaji wa magar yake.
Na wewe ambae una pesa na ipo Bank imekaa situka njoo tukujengee kituo safi na Cha gharama nafuu pesa Yako iingie kwenye mchakato wa uzalishaji na uwekezaji wenye tija.
Hii hapa chini ni hatua ya 3 kakta ujenzi wa Kituo. Karibu sana lakin usiogope kuomba ushauli na kujua japo kidogo katika ujenzi huu
Asante sana mkuu
 
Napataje hiki mkuu?
Download hapo:
 
Hauja tupa jumla ya pesa ya ujenzi na vibali vyake kama una eneo tayari
Download hiki kitabu:
 
Mkuu Kwa eneo lenye Square meter 2500.
Kuanzia vibari mpaka ujenzi.
Kama sio korofi ni eneo zuri lita kugharimu kias Cha Sh Milion 500 mpaka 650 milion.
Hapa inaweza kupungua au kuongezeka kulingana na mkoa utakaokuwepo sababu vifaa vya ujenzi hutofautiana gharama kulingana na mkoa husika.
Canopy yenye ukubwa wa meter 24x10
Tenk 3 zenye ukubwa wa lita 45000 na mbili 25000
Ofisi yenye ukubwa wa mita 10x18
Ikiwemo na mambo mengine ambayo siwezi orodhesha yote hapa.
Na hiki ni kituo kikubwa chenye standard nzur.
KARIBU SANA
Halafu lory litoke huko linefeli breki linakuja kuchoma ndani ya kituo😖😖😖
 
Karibu kwenye uwanja wa majadiliano

Sawa ndugu
kwanza kabsa kabla hujapata hasala unapaswa kujua mafta ya taa Kwa Sasa hayana soko Tena.
Kwa hiyo usipoteze Fedha zako kwenye mafta ya Taa.
Kama unataka kujenga Petrol station Dili na Diesel na Petrol pekee hapo tutapiga pesa .
Na Kwa udadis mzur pita vituo vya mafuta 3 tu uliza kama wanamafta ya taa Kisha utaona jibu langu lipo je.
Jaribu kudownload hiki kitabu
 
Back
Top Bottom