Ndama Matandiko
Member
- Jun 24, 2024
- 34
- 50
Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta.
Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka.
Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank
Kunja huk za kufungia Chen ya kufunga Tank ukishalishusha shimon.
Kumekuwa na watu wengi wanaingia gharama na kulalamika kuwa Tank umeibuka au imecheza Kwa asilimia kubwa mpaka inapelekea vipimo kupoteza uhakika na kuhis Kuna hasara stick haisomi vizur na inapelekea kufnya vipimo kabla ya wakat wake.
Sasa mkuu ukiwa na kituo Cha mafuta unalekebisha au kujenga zibiti hizi hasara Kwa kuweka vitu hivi Ili uwe na uhakika zaidi wa jambo lako Kwan KITUO CHA MAFUTA ni KISIMA CHENYEWE CHENYE KUTUNZIA MAFUTA kabla ya kumuuzia mteja wako.
Namanisha Tank ndio kituo chako Kwa asilimia kadhaa.

Last edited: