Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

Hakuna lockdown sababu maambukizi yaliisha baada ya kupiga lockdown kali mwaka jana.
Unasema Italy maambukizi yaliisha, unamaanisha hakuna watu wenye Corona nchini Italy au ni kwamba Corona ipo ila tu haiambukizi?



Wakati Italy wanaweka lockdown ya kwanza March 2020 walikuwa na roughly 100,000 cases, leo Oct 2021 wakiwa wametoa Lockdown, wana roughly hizo hizo 100,000 cases, sasa kilichosababisha Lockdown wakati huo ni nini? Na kilichoondoa Lockdown wakati huu ni nini?

 
 
UK wanajiandaa kurudi Lockdown baada ya mlipuko mpya wa variant ya Omicron, pia wametakiwa kuchoma booster ya tatu. R.I.P JPM
 


Hahahahahah, ukiwa na akili kama JPM, maisha ni mtelezo tu 😂😂😂
 
 
 

Eti Corona, watu wamejazana hivi na hakuna cha mask wala nini.., ina maana hawa hawaogopi kabisa?!
 
 
 
 
China yarudisha Lockdown tena kwa mara ya 10 ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya Covid19
 
Mji wa Chengdu nchini China warudishwa kwenye lockdown kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…