Fahamu kwanini Homa ya Ini ni hatari zaidi ya UKIMWI

Fahamu kwanini Homa ya Ini ni hatari zaidi ya UKIMWI

Edychristian

New Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Watu wengi hawafahamu Ugonjwa wa Homa ya Ini maarufu kama HEPATITIS B ugonjwa huu unasababishwa na kirusi anaeitwa hepatitis B virus ugonjwa huu unawezamuingia mtu mwilini kwa njia ya majimaji yatokanayo mwilini kwa mtu alie athirika na ugonjwa huu

Umoja wa mataifa wamesema Ugonjwa huu unaua mtu mmoja kila baada ya sekunde 30 ni hatari mnoo.

Ugonjwa ukiingia mwilini una unaenda moja kwa moja kwenye ini na kuanza kulishambulia Ini hvyo basi kusababisha Ini kufeli na kuoza hivyo unapelekea Ini kiushindwa kufanya kazi zake na njia pekee ya mtu kupona ni kupandikiziwa Ini


1631708013836.png

(picha na google picha)​


UTAJUAJE MTU ANASHIDA YA INI?

1.Kubadilika Rangi kwa mtu kuwa wa Njano kwenye macho
1631708131237.png


2.Tumboo kuvimba au kuwa kubwa
1631708235945.png


3.Miguu kujaa
4.Homa
5.kuharisha

TOA MAONI YAKO ,PLEASE VOTE FOR ME
 
Back
Top Bottom