Hizo za makumbusho ndio maana wanahangaika na charge…iphone kama umenunua yenyewe na mpya charge inakaa vya kutoshaI'm not expert kwenye maswala ya simu but Ofisini kwetu wengi wana hizo iPhone 12 na 13 naona wanahangaika sana suala la charge kila wakati wanatembeq na charger,huku mie na ka samsung kangu haka ka A54 charge inadumu siku nzima.
Mkuu umeongea point Sana halaf kwa kibongo bongo majority unakuta limtu linasema security na Hapo Hana data za maana zaidi ya sms za mapenzi na ngono tu Hapo nae anawaza kuhackiwa simu karibia zote saivi Zina backup sema watu tu wavivu kujifunza hata sms calls zote zinakua backed up Ni swala na mtu tuWanaotumia iphone wanajikuta wao ndio freemason kumbe hakuna kitu ni vile tu kampuni ya iphone imeweza kuwateka wateja wake kisaikolojia kwa kuwaproud kuwa wao ni special!!.
Hata ukitaka mvuta mtoto wakike msifie ajione yeye ni special chap tu unampeleka ghetto..[emoji23]
Android unaweza kusave vitu vyako google drive na ukavipata vyote kikubwa usisahau email yako na password ya email..
Kuhusu kushuka bei kwa simu zilizopita sokoni si hoja yenye nguvu,na nakushangaa maana huku mtaani watu wanazibeba hadi kwa laki na hamsini nakuendelea!..
Android ni nyepesi na ipo huru isiyo na mfumo wakunyanyasanyanyasa wateja wake,takribani apps zote unaweza kuzipata kwenye mfumo wa android,huko iphone mpo kwenye gereza na kifungo kisichofunguka!.
Kuhusu hacking usije ukajidanganya wewe member ulielewa hilo tunda la apple,ukafikiri hiyo IOS upo salama labda kama wewe sio mfatiliaji tu ila wapo hackers wazuri wanaoweza ku hack mifumo ya iOS so usijitie ushankupe..
Piga uwa galagaza iphone haimfikii google pixel kwenye quality ya picha!.
Umekaa kizembe sana babu..[emoji28]
Vimelewa mahaba hivi...😂Mkuu umeongea point Sana halaf kwa kibongo bongo majority unakuta limtu linasema security na Hapo Hana data za maana zaidi ya sms za mapenzi na ngono tu Hapo nae anawaza kuhackiwa simu karibia zote saivi Zina backup sema watu tu wavivu kujifunza hata sms calls zote zinakua backed up Ni swala na mtu tu
Mkuu umeongea point Sana halaf kwa kibongo bongo majority unakuta limtu linasema security na Hapo Hana data za maana zaidi ya sms za mapenzi na ngono tu Hapo nae anawaza kuhackiwa simu karibia zote saivi Zina backup sema watu tu wavivu kujifunza hata sms calls zote zinakua backed up Ni swala na mtu tu
Android version 14 tayari mbonaNimeanza kutumia android 4.4 kitkat hadi sasa nipo enzi ya android 13 tunaitafuta 14. Sijawahi kusumbuliwa na issue yoyote ya security na ukizingatia mimi ni muumini wa cracked app softwares.
Hata mimi mkuu nimeanzia hapo 3a XL na sijuti kabisa...Sijawahi kupenda iphone maana nilishawahi kuletewa iphone 4 kama sijakosea miaka ya nyuma sana ...Nikauza nikanunua HTC .
Kwa kweli sijatokea kupenda hizo simu japo zipo vizuri sijui kwa nn yaani!?
Sehemu nafanyia kazi zipo kama yebo yebo yaani kila mtu anayo na nyingi ni iphone 13.... Honestly hizi trends za simu mpya niliachana nazo kitambo yaani maana hata huo mda kupiga picha sina sasa natumia pixel 3a.
Kuna quote niliikuta mahali "shoga kama humiliki iphone basi bado hujakomaa"^
Mtu anasifia pixel 3a mwingine samsung note 10 nakumponda mtu mwenyewe 14 /15 pro max mara simu za kishoga mara kufake maisha ivi kweli mtu akitumia pixel 7/8 pro hafiki maisha na samsung s22/23 ultra sio simu za mashoga shida yenu ni ushamba na upungufu wa pesa na wivu wa kipumbavu maana wanaotumia pixel kwanzia 6/7/8 pro uwezi kuwakuta wakiponda au s22/23 huwezi ila hawawenye simu za laki 4 kushuka chini kila siku mara iphone wanajidai mara simu za kidada tafuta hela miliki android ya angalau ya 1,800,000 alafu ndouongee hizo shitii
Mm utofauti nilioona ni sehemu 2 tuHayo yote uloandika hapo juu yanapatikana android pia.
Sahihi kabisa umaskini una mambo mengi sana ya ajabu pixel 8 pro ,s23utra,iPhone 15 pro max ndio ulinganifu sahihi kabisa
2-Apple product haichuji sababu ya wajinga wanaozuzuka na picha ya Tunda.Mm utofauti nilioona ni sehemu 2 tu
1.chipset zake ni quality and haichuji thamani means battery ndio itakufa ila phone performance ipo pale pale,km huamini tafuta iphone 6 onwards and chukua latest android zima zote pamoja then washa pamoja then share results.hio nimfano mojawapo.
2.value for money…apple products hata inamiaka 10 still thamani yake ipo juu,chukua MacBook ya 2012 and chukua any product ambayo ni used peleka sokoni uone utofauti wake
Mtu anasifia pixel 3a mwingine samsung note 10 nakumponda mtu mwenyewe 14 /15 pro max mara simu za kishoga mara kufake maisha ivi kweli mtu akitumia pixel 7/8 pro hafiki maisha na samsung s22/23 ultra sio simu za mashoga shida yenu ni ushamba na upungufu wa pesa na wivu wa kipumbavu maana wanaotumia pixel kwanzia 6/7/8 pro uwezi kuwakuta wakiponda au s22/23 huwezi ila hawawenye simu za laki 4 kushuka chini kila siku mara iphone wanajidai mara simu za kidada tafuta hela miliki android ya angalau ya 1,800,000 alafu ndouongee hizo shitii
Vivyo hivyo mtu mwenye uwezo wa kuchaa wallet akatoa 3mln kuchukua 15,huwezi sikia anaongea mbovu kuhusu 23,au 7pro pics maana ni simu anazokutana nazo kwenye circle yake ya maisha na uwezo wake anaujua.
Ukiishasikia mtu anasema "iphone noma"katoka infinix akachukua iphone x
Kwani wa Android hatuwezi kuweka vitu vyetu kwenye google drive??..