Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

I'm not expert kwenye maswala ya simu but Ofisini kwetu wengi wana hizo iPhone 12 na 13 naona wanahangaika sana suala la charge kila wakati wanatembeq na charger,huku mie na ka samsung kangu haka ka A54 charge inadumu siku nzima.
Hizo za makumbusho ndio maana wanahangaika na charge…iphone kama umenunua yenyewe na mpya charge inakaa vya kutosha
 
Kumbe mashindano ya simu bado yapo!
 
Umaskini mbaya sana inafika hatua unaona kulinganisha RANGE ROVER VELAR na ist ni sawa tu
Tutafute hela tuache kulalamika na kuwa watu wa kupangilia maisha ya watu
Mtu analinganisha A series ya sumsung na iphone 14 pro max kama mtu anauwezo wa kununua iphone 15 pro max pia ana uwezo wa kununua s23 utra lakini kikubwa ni preference ya mtu
 
Wanaotumia iphone wanajikuta wao ndio freemason kumbe hakuna kitu ni vile tu kampuni ya iphone imeweza kuwateka wateja wake kisaikolojia kwa kuwaproud kuwa wao ni special!!.
Hata ukitaka mvuta mtoto wakike msifie ajione yeye ni special chap tu unampeleka ghetto..[emoji23]

Android unaweza kusave vitu vyako google drive na ukavipata vyote kikubwa usisahau email yako na password ya email..
Kuhusu kushuka bei kwa simu zilizopita sokoni si hoja yenye nguvu,na nakushangaa maana huku mtaani watu wanazibeba hadi kwa laki na hamsini nakuendelea!..
Android ni nyepesi na ipo huru isiyo na mfumo wakunyanyasanyanyasa wateja wake,takribani apps zote unaweza kuzipata kwenye mfumo wa android,huko iphone mpo kwenye gereza na kifungo kisichofunguka!.

Kuhusu hacking usije ukajidanganya wewe member ulielewa hilo tunda la apple,ukafikiri hiyo IOS upo salama labda kama wewe sio mfatiliaji tu ila wapo hackers wazuri wanaoweza ku hack mifumo ya iOS so usijitie ushankupe..

Piga uwa galagaza iphone haimfikii google pixel kwenye quality ya picha!.

Umekaa kizembe sana babu..[emoji28]
Mkuu umeongea point Sana halaf kwa kibongo bongo majority unakuta limtu linasema security na Hapo Hana data za maana zaidi ya sms za mapenzi na ngono tu Hapo nae anawaza kuhackiwa simu karibia zote saivi Zina backup sema watu tu wavivu kujifunza hata sms calls zote zinakua backed up Ni swala na mtu tu
 
Vimelewa mahaba hivi...😂
 
Hata hizo ni data pia,ajabu ni kwamba ukiwaletea simu ya androidi iliyofungwa waifungue hawabakizi data hata moja lazima wapoteze kila kilichomo[emoji23][emoji23][emoji23].

Mbongo akitaja security ujue hamaanishi data,ujue anamaanisha uwezekano wa pini ama lock ya simu kufunguliwa.
 
Kuna quote niliikuta mahali "shoga kama humiliki iphone basi bado hujakomaa"^
 
Sijawahi kupenda iphone maana nilishawahi kuletewa iphone 4 kama sijakosea miaka ya nyuma sana ...Nikauza nikanunua HTC .

Kwa kweli sijatokea kupenda hizo simu japo zipo vizuri sijui kwa nn yaani!?

Sehemu nafanyia kazi zipo kama yebo yebo yaani kila mtu anayo na nyingi ni iphone 13.... Honestly hizi trends za simu mpya niliachana nazo kitambo yaani maana hata huo mda kupiga picha sina sasa natumia pixel 3a.
Hata mimi mkuu nimeanzia hapo 3a XL na sijuti kabisa...
 
Mtu anasifia pixel 3a mwingine samsung note 10 nakumponda mtu mwenyewe 14 /15 pro max mara simu za kishoga mara kufake maisha ivi kweli mtu akitumia pixel 7/8 pro hafiki maisha na samsung s22/23 ultra sio simu za mashoga shida yenu ni ushamba na upungufu wa pesa na wivu wa kipumbavu maana wanaotumia pixel kwanzia 6/7/8 pro uwezi kuwakuta wakiponda au s22/23 huwezi ila hawawenye simu za laki 4 kushuka chini kila siku mara iphone wanajidai mara simu za kidada tafuta hela miliki android ya angalau ya 1,800,000 alafu ndouongee hizo shitii
 
Sahihi kabisa umaskini una mambo mengi sana ya ajabu pixel 8 pro ,s23utra,iPhone 15 pro max ndio ulinganifu sahihi kabisa
 
Hayo yote uloandika hapo juu yanapatikana android pia.
Mm utofauti nilioona ni sehemu 2 tu
1.chipset zake ni quality and haichuji thamani means battery ndio itakufa ila phone performance ipo pale pale,km huamini tafuta iphone 6 onwards and chukua latest android zima zote pamoja then washa pamoja then share results.hio nimfano mojawapo.
2.value for money…apple products hata inamiaka 10 still thamani yake ipo juu,chukua MacBook ya 2012 and chukua any product ambayo ni used peleka sokoni uone utofauti wake
 
Sahihi kabisa umaskini una mambo mengi sana ya ajabu pixel 8 pro ,s23utra,iPhone 15 pro max ndio ulinganifu sahihi kabisa

Yeah ila chukua 13 pro max na pixel 6pro na samsung s22 ultra hao ndowabishane wewe kama upo kwenye 3a huku tafuta mwenzako
 
Mm utofauti nilioona ni sehemu 2 tu
1.chipset zake ni quality and haichuji thamani means battery ndio itakufa ila phone performance ipo pale pale,km huamini tafuta iphone 6 onwards and chukua latest android zima zote pamoja then washa pamoja then share results.hio nimfano mojawapo.
2.value for money…apple products hata inamiaka 10 still thamani yake ipo juu,chukua MacBook ya 2012 and chukua any product ambayo ni used peleka sokoni uone utofauti wake
2-Apple product haichuji sababu ya wajinga wanaozuzuka na picha ya Tunda.

1- performance wise hakuna kitu ambacho Android imezidiwa na Apple, Chukua iPhone 6 compare na kina Sony Xperia z3 ambao ni competitors wa miaka sawa, then rudi hapa ulete mrejesho mkuu.
 
Mtu anasifia pixel 3a mwingine samsung note 10 nakumponda mtu mwenyewe 14 /15 pro max mara simu za kishoga mara kufake maisha ivi kweli mtu akitumia pixel 7/8 pro hafiki maisha na samsung s22/23 ultra sio simu za mashoga shida yenu ni ushamba na upungufu wa pesa na wivu wa kipumbavu maana wanaotumia pixel kwanzia 6/7/8 pro uwezi kuwakuta wakiponda au s22/23 huwezi ila hawawenye simu za laki 4 kushuka chini kila siku mara iphone wanajidai mara simu za kidada tafuta hela miliki android ya angalau ya 1,800,000 alafu ndouongee hizo shitii

Vivyo hivyo mtu mwenye uwezo wa kuchana wallet akatoa 3mln kuchukua 15,huwezi sikia anaongea mbovu kuhusu 23,au 7pro pics maana ni simu anazokutana nazo kwenye circle yake ya maisha na uwezo wake anaujua.

Ukiishasikia mtu anasema "iphone noma"katoka infinix akachukua iphone x
 
Vivyo hivyo mtu mwenye uwezo wa kuchaa wallet akatoa 3mln kuchukua 15,huwezi sikia anaongea mbovu kuhusu 23,au 7pro pics maana ni simu anazokutana nazo kwenye circle yake ya maisha na uwezo wake anaujua.

Ukiishasikia mtu anasema "iphone noma"katoka infinix akachukua iphone x

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu akisifia iphone akatoa x au 11 plain namuonanga kama anatafuta sifa tu au unakuta mtu anaisifia samsung au pixel mkononi ana A02 /3a tafuta latest version ndoutauona utamu wa simu
 
Kwani wa Android hatuwezi kuweka vitu vyetu kwenye google drive??..

Kiufupi hata wewe unajua ukisahau email / password android yako kuifungua ni rahisi sana tena ukiipeleka kwawale mafundi ikizidi sana 25000 tu japo kuna android nyingine ningumu kuzitoa password kama oneplus kama sijakosea ila ukipewa leo 13 pro max uitoe apple id lazima uandae pesa (300000/500000)ya maana nazoezi linaweza lisiwezekane au likawezekana ila simu isishike network mazima
 
Back
Top Bottom