Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Hakuna reasearch imefanyika ikaonyesha kuwa watumiaj wa iphone hawana akili.
Iphone ni brand ya simu ya brand zingine, kila mtu ana nunua anachokipenda

Sion reasons ya kumchukia mtu anae amua kuchukua iphone
Watu wako kama hawana akili timamu 🤣🤣
Huyo jamaa ndo wale kula pilau mpaka sikukuu.
 
14 pro max na 15 pro max ku hack ni ngumu sana kiufupi tu ili uweze kuhack inabidi ununue software / code za ma million usd so sio rahisi hivi ndugu ila hizi x / xr / 11 zote zinawezekana

Iphone x maybe but si 11
Uzuri zote zinatumia ios, kwa wale wenye ku update currently iko ios 17.1

So tell me how to hack ios 17.1 on iphone 11 and xr?
 
Mwaka wa 800 huu, android tuna hii kitu 😂
Screenshot_20231120-072345.png
 
Kiukweli linapokuja Swala la Simu mtumiaji wa Simu ndiyo ataangalia Ubora Kwa vigezo vyake?

Binafsi siwezi kutoa Hela yng kununua iPhone maana sioni km Preference zng upande wa Simu naweza kuzipata kwenye IOS.

Bahati Mbaya nachukuaga New Brand sio Used au Copy km wengi wenu mnaotumia iPhone.
 
Kiufupi iphone ni simu zuri pia hizo nyingine nizuri pia kingine kila mtu atumie uwezo wake utakuta mtu ana pixel 3a anamponda mtu wa iphone 14 pro max eti pixel inapicha kali ipo vizuri iphone ni simu zakike sijui wanaopenda kutumia iphone wanafake mara hazikai na chaji ivi unajua sasahivi iphone inakaa na chaji kuliko flagship yoyote maisha acheni wivu tafuteni pesa ili nanyie mtumie ata pixel 7 au 6 sio unatumia pixel 3 / 4 unaiponda iphone 12/13/14/15 sio sawa wewe iponde iphone x/xr kushuka chini acheni dharau kila mtu anatumia anachokipenda watumiaji wengi wa iphone wametoka android bongo watu wengi wamevamia iphone mwaka 2015 kama sijakosea ilipotoka iphone 4 ila huko nyuma wengi tulikuwa na android so jaribu kununua samsung s23 au pixel 7 ndouiponde iphone 14 pro max
Mjomba umenena vyema. Nimetafuta hizi nyuzi kwa sababu leo nahamia iphone rasmi baada ya kuchoka na android
 
Mtu Unaishi uswahilini unashindia energy drinks na vitumbua afu unatambia security ya iphone 😂
 
APPLE iPHONE 6 PLUS 220,000

BRAND NEW & CLEAN FROM CANADA

SPECIFICATIONS

Battery Health - 100%
Fingerprint Sensor - Working


RAM - 1GB
ROM/Internal - 64GB
Screen Size - 5.5 inches
Operating System - iOS
Color - Gold
Display Type - IPS LCD
Resolution - 1080 x 1920
SIM - Nano SIM
Main Camera - 8MP f/2.2
Selfie Camera - 2MP f/2.2
Battery - 3000
Bluetooth - 4.0
USB 2.0 & NFC


0783060577
Haina kasoro yoyote kwa 220,000 tu
 
Back
Top Bottom