KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Sio mchezooo,yaani hiyo nimechanjia kwa mganga mmoja kule bagamoyo,alinichanja lips na ulimi,sasa huwa nafyonza kama bone marrow kwenye mfupa,ulimi nazungusha kama juice blender,kwa kweli majirani zangu hupata tabu sana tena sana,lakini hakuna namna au jinsi.haaaa mwanamke ukimfanyia hivyo Limbwata anaanzaje kukuwekea lol......
karanja unaonekana una mauzoefu ya kufa mtu
haa aa umetisha wallah ...baiiiSio mchezooo,yaani hiyo nimechanjia kwa mganga mmoja kule bagamoyo,alinichanja lips na ulimi,sasa huwa nafyonza kama bone marrow kwenye mfupa,ulimi nazungusha kama juice blender,kwa kweli majirani zangu hupata tabu sana tena sana,lakini hakuna namna au jinsi.
Usijali mamii asante na ubarikiwe.haa aa umetisha wallah ...baiii
Heaven on Earth Mungu hawezi kukubali niteseke kisa Mwanadam mwenye tamaa za duniahaaaa umeandikaje kwa hisia..
hapo unakua ushakua zezeta kwani una cha kumfanya basi...
Heaven on Earth Mungu hawezi kukubali niteseke kisa Mwanadam mwenye tamaa za dunia
Yan tunayofanya binadamu hata shetan anatushangaaHuko akhera kuna kazi
Ukute sasa hicho kinyama(if at all this is true) kikutane na ule mzunguko pendwa.....ptuuuu...khaaaa!!!
Kwa nini liwe marufuku kutumiwa na wanaume?Mkuu...hilo neno kuna wadau wanadai eti ni marufuku kwa wanaume kulitumia....
Kwa nini liwe marufuku kutumiwa na wanaume?
Mtani, wanaume mnalishwa uchafu, acha kabisa...Ukute sasa hicho kinyama(if at all this is true) kikutane na ule mzunguko pendwa.....ptuuuu...khaaaa!!!
Dah, nekimanya nimshigha!!Mtani, wanaume mnalishwa uchafu, acha kabisa...
Jitapishe bosi [emoji28] [emoji28]nahisi hiki kinyama nimelishwa somewhere last week maanake kuna mahali natoa mahela tu bila kujielewa.. [emoji23][emoji23][emoji23]