Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Endelea kubaki na hofu ya Mungu ktk imani yako kwakuwa ni hazina yako ktk maisha yako.
 
bora dadaangu, kuna mtumishi mwenzangu kafanya mchezo huo hadi navosema amekuwa kama kichaa naanahudhuria krinic ya vichaa hapa moro, hatari iliyopo nikwamba huyu jamaa wakatimwingine anagoma kunywa chai ofisini anadai mkewe aje wanywe wote, mda wa kurudinyumbani anataka mkewe amfuate.hivi navosema yupombio kusimamishwa kazi. WAKEZETU MTATUUA JAMANI TUONEEN HURUMA.
Basi huyo limbwata yake iliwekwa kwenye tigo.
 
Mm nikigundua hyo kitu hyo mwanamke atanikoma aisee yani unilishe madude mabaya hvo kisa mapenzi...heee ctak kujua ningefanya nn maana
 
HOE hapo umenena ukweli,maana papuchi safi huwa ina ka aroma ka aina fulani hivi,halafu wakati mwingine inakuwa kama nalamba mlenda uliopikwa na karanga na nazi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama mlenda uliofanyaje... uwiii umenichekesha hatari....
 
Imani za kijinga jinga za kiafrika

Imani kama hizi pamoja na ngoma ni sababu ya waafrika kuwa nyuma kimaendeleo na kuwa kama mazuzu tunaoongozwa kwa kila kitu na watu weupe.

Unajua bado nasita kukubali/ amini kuwa kweli kuna wanawake wafanyao hivyo.

Kwanza haiingii akilini kabisa kwa sababu kwa maumbile ya kike ni rahisi mno kupata maambukizi.

Mwanamke anaweza akavaa chupi isiyo na akaishia kupata maambukizi ya hamira [yeast infection - ila sina uhakika sana na Kiswahili chake].

Sasa seuze kinyama? Tena sijui kibichi...mtu akisokomeze huko kwa wiki nzima?

Nyama ukiiacha wazi kwa masaa machache tu tayari inaanza kuharibika.

Sasa mtu atawezaje kuweka kinyama huko maungoni tena kwa siku saba halafu asiugue?

Ndo maana wakati mwingine huwa nadhani kuwa habari kama hizi ni masimulizi tu.
 
Hata mie hapo pamenipa mashaka kidogo nyama siku saba?
Wakati wa hedhi ukichelewa kubadilisha pad hiyo halafu ni hatari.
 
Back
Top Bottom