Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Teh kitu siku 7, poleni wanaume. Ptuuuuu. BTW hiko kinyama hakitoi hata harufu au?

Hold up..wait a minute!

Kwa nini pole kwa wanaume tu?

Hao wanaoviweka hivyo vinyama huko ukeni hawastahili pole?

Like, seriously?

For anyone to go through such length there must be something terribly amiss with her.
 
Nafikiria huo mwendo "miondoko" ya mtu aliyehifadhi pande lake la nyama siku Saba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo ni zaidi ya uwendawazimu aisee.

Sidhani kabisa kama mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya upu.mbavu kama huo.
 
Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu

kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee

ni uchafu wa hali ya juu sana.....
Uchafu gani mbona wanaila wao bila kulishwa..[emoji12] [emoji12]
 
Shetani anamasharti magumu kumfuata kuliko Mungu lakini watu wanamfuata shetani na kumuacha Mungu. Hivi ni dunia imelaaniwa au ni binadamu?
 
Nafikiria huo mwendo "miondoko" ya mtu aliyehifadhi pande lake la nyama siku Saba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Am praying and I hope, ni maneno tu na hawafanyi haya...lol
Watu si wangekufa.
 
I hope, ni maneno tu na hawafanyi haya. Watu si wangekufa.

Usifanye mchezo na wanadamu ndugu yangu weee yasemwayo yapo . Is hi miaka mingi oune mengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mmmhhh, hivi hiyo nyama inayowekwa ktk PAPUCHI ya mwanamke kwa siku 7 haiaribiki/kuoza??? Naomba majibu tafadhali!!
Siyo kuoza tu,huy mwanamke anajisikiaje pindi anapotembea,anapokaa,anapoenda haja.asee yaan sipati licha mwe,na asinipende tu
 
Hold up..wait a minute!

Kwa nini pole kwa wanaume tu?

Hao wanaoviweka hivyo vinyama huko ukeni hawastahili pole?

Like, seriously?

For anyone to go through such length there must be something terribly amiss with her.
Huyo anayeweka kinyama ni wa kutibiwa tu akili yake kwanza, then mwanasaikolojia amsaidie, maana nahisi hajiamini kabisa. Na akipata infection kisa kuweka kinyama huko atajijua mwenyewe. Sasa huyo mwanaume anayelishwa hilo linyama jamani ptuuuuuuuuu (sitaki hata kuwaza)
 
Huo ni zaidi ya uwendawazimu aisee.

Sidhani kabisa kama mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya upu.mbavu kama huo.
Imani za kijinga jinga za kiafrika

Imani kama hizi pamoja na ngoma ni sababu ya waafrika kuwa nyuma kimaendeleo na kuwa kama mazuzu tunaoongozwa kwa kila kitu na watu weupe.
 
Back
Top Bottom