wanaume wameumbwa na tamaa sana nakutotulia kwao wanalishwa vitu vingi mnooo maana imagine mtoto wawatu kakuonya wee huonyeki tuliaa hutaki anakutuliza kwa nguvu na ukimwii huu waganga watatajirika kwa mapenzi honest naaminii kua uchawi ulianzia kwenye mapenzi unajua wanawake hawana nguvu za kupigana ila revange ya mwanamke ni hiyo umefanya uchafu wako mtoto wawatu katulia tuu analia ana nyamaza hujiulizi why haniachi matokeo yake unakorogwa mpaka dudu yako itulie sehemu moja nasubiri kwa hamu hiyo yasindano
Kwa style hiyo cancer za kizazi haita isha, wanawake msije mkadanganyika na hayo makitu, mapenzi hayana dawa wala uchawi mtaja umbuka bure na kujitafutia maradhi yasiyo na tiba.
sasa mwanamke anapata faida gani kupendwa na mtu anayejua kabisa amemlazimisha ampende!shit!!!!!!!!!!!!, na akigundua utakiona cha mtema kuni na kujuta kuzaliwa!
Manake hapo imagine the mixture.
Ninavyoelewa ni kwamba huwezi kuacha nyama mbichi (or any dairy) kwenye warm environment for more than 2 hrs, cos itaharibika. Sasa siku saba?
Si hata kihifadhaio chenyewe kitaugua?