Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Hapana kulala au kutolala nayo ni uamuzi wake.
Asipotaka kulala nayo huitoa na kuiweka ndani ya kingozi cheusi kilichopakazwa vumbi la kimti cha limbwata kile cha brown.


aiseeeh!!!!!!
huyo uliyemfanyia ilijibu?...............
 
Ha ha ha!
Wawawekeege tu si hamtaki kutulia! mnaruka ruka kama mwewe.
Mkuu tunaisubiri ya sindano utuambie kesho.
 
Mbona haueleweki!! upo ni uchaw mkubwa zaid kati ya huo NYAMA na SINDANO?
 
inasikitisha sana! sasa kwa akina kaka hasa mliooa, jitahidini kuwa waaminifu kwa wake zenu maana mnaweza kwenda huko nje mkidhani ni kuhit na kurun kumbe huyo nyumba ndogo anakufanyia mambo hayo ya uchawi unaishia kuja kutelekeza familia yako...mjue kabisa wanawake wengine hawachezewi jamani...ila kiukweli inatisha na kusikitisha sana..ee Yarabi tunusuru!


kama ni hit and run , saa ngapi utapata muda wa kula kwake?
 
LIKUD mamboo!
naona tafiti zinaendelea.

ila kama ningekuwa mwanaume unilishe hyo nyama halafu nijue!! ntakachokufanyaaa ....

yani papuchi niile na nyama iliyooza pia nile daaaa!
 
Last edited by a moderator:
hao hawajalogwa ila
ni uwendazimu wao wa kutaka kuonyesha maujuzi kumbe wanajitafutia
kansa ya koo!!!!

waiiii
hivi wewe ni wa wapi aisee!

kwa hyo ukiwa na mwenzio unawaza kansa ?

au ndo zile za leo kona bar, kesho kisuma keshokutwa buguruni malapaa!
 
Limbwata ni uchawi wa mapenzi unao tumika sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki. Lengo la uchawi huu ni kumpumbaza mwanaume na kumfanya asiseme chochote kwa mwanamke aliye mfanyia uchawi huu. Kwa mujibu wa maelezo ya Sangoma mmoja mkazi wa Mkata, Handeni, Tanga. Nguvu ya uchawi wa limbwata ni kubwa mara mia ya nguvu ya uchawi mwingine wa mapenzi uitwao SHUNTAMA ( Ukaege ) unaotumiwa na Bukobian women (Wahaya)
Katika uchawi huu, mwanamke huchukua kipande cha nyama ya n’gombe, mbuzi,kuku au bata na kukiweka kwenye tupu yake ya mbele kwa muda wa siku saba.

Baada ya siku saba kukamilika, mwanamke huyo atakitoa kipande hicho cha nyama na kuchanganya na nyama nyingine ya kawaida pamoja na dawa maalumu ya kichawi na kupika kitoweo hicho kisha kumpa mwanaume ale. Mwanaume akisha kula chakula hicho, tayari anakuwa amesha shikwa na uchawi huo. Mwanaume huyu atampenda mwanamke huyo katika siku zote za maisha yake na atafanya kitu chochote kile ambacho mwanamke huyo atamtaka kukifanya. ( HER WISHWILL BE HIS COMMAND ). Wanaume wengi wameharibu maisha ya familia zao kwa sababu ya uchawi huu.

Nilitaka kujua kwanini NYAMA HUWEKWA KWENYE PAPUCHI na sio sehemu nyingine yoyote ya mwili ..
JIBU : Walatini wana msemo wao mmoja unasema “ QUICI QUIDI VAGINA, SOLOSOLO CEDIT “ wakimaanisha “ WHATEVER IS ATTACHED TO THE VAGINA, IT BECOMES A PART OF IT “ Ama “ CHOCHOTE KINACHOUNGANISHWA NA PAPUCHI KINAKUWA SEHEMU YA PAPUCHI “ kwa maana nyingine kinakuwa “ PAPUCHI KABISA “

Nini maana ya kuwa PAPUCHI ? Kuwa papuchi maana yake ni kuwa mtu usiye julikana upo upande gani .. Unajua papuchi haijulikani iko upande gani. Kwa sababu mwanamke akisimama, inakaa mbele, akiinama inaelekea nyuma na akichuchumaa inarudi chini . Na anaye weza kuamua papuchi ikae upande gani ni mwanamke mwenyewe, akitaka ikae mbele atasimama, akitaka irudi nyuma atainama na akitaka iende chini atachuchumaa.

So mwanaume aliye lishwa limbwata anakuwa amefanyika kuwa papuchi ya mwanamke aliye mlisha. Kwa maana nyingine basi huyu mwanamke ndie atakaye amua ni kitu gani huyu mwanaume anatakiwa kukifanya, kwa namna gani na kwa wakati gani…

Hii ndio mantinki ya limbwata kupitishiwa kwenye papuchi ya mwanamke….
NEXT TIME NITAZUNGUMZA KUHUSU “UCHAWI WA SINDANO KATIKA MAPENZI “. Huu ndio uchawi wenye nguvu kuliko uchawi mwingine wowote ule katika mapenzi. Ukifanyiwauchawi wa SINDANO katika mapenzi wafwa! Stay Tuned Ufahamu kuhusu UCHAWI WA SINDANO…Najua unafahamu kwanini ukienda kununua sindano usiku hauuziwi..

LIKUDi tufafanulie huu wa shuntama upoje
 
Last edited by a moderator:
Kule kwetu Tanga kila baada ya nyumba 3 ya 4 lazima umkute mwanaume aliyelishwa limbwata.

Ndo maana ukaamua kunilisha na Mimi??
Hivi wakati umehifadhi hiyo nyama kunako papuchi, si nikiingiza mshedede naweza kuisokomezea ndani??
 
Usiogope hili mammy; siku hizi vijana wanakula papuchi yenyewe (Uvinza), huo uchawi wa limbwata siku hizi hauna mashiko tena-haikamati!:majani7:

Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu

kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee

ni uchafu wa hali ya juu sana.....
 
:doh:...na hii hiyo yote ni kwa sababu ya nini? kama hupendwi hupendwi tuu. LIKUD huu uchawi hauna expiry date? maana sipati picha siku iikiisha nguvu yake itakuwaje.....Mimi najiuliza hiyo nyama inawekwa kwenye papuchi halafu baadae inachanganywa na nyuma fresh hivi si ni rahisi kwa mwanaume aliemakini kuigundua kwani itakuwa imebadilika sura hata harafu na ladha yake wakati inatafunwa itakuwa sio? naamini hata ikitiwa viungi kiasi gani bado itabaki kuwa tofauti tuu....
Yanii uchukue nyama ushamganye kwenye nyama usubiri mpaka ioze umlishe mtu ayaaaaaa wee
 
Last edited by a moderator:
Limbwata ni dalili ya kutojiamini wivu au uoga wa kuachwa? Hebu lete maoni yako, yaweza kuwa msaada kwa wengine
 
Back
Top Bottom